Mfahamu Marehemu Dr Sebi

GALONI MOJA YA MAJI SI LITA TANO EEH?
Haifiki lita 5; ni kama chupa 2 na nusu za maji ya kilimanjaro makubwa. Kuanzia asubuhi unapoamka mpaka unaenda kulala usiku sidhani km mtu atashindwa kunywa chupa 2 na nusu za maji (kilimajaro nimetumia km mfano tu kufafanua ujazo)
1Gallon=3.785 litres
 
Utashinda chooni sikuya kwanza na ya pili... Ukiendelea mwili unazoea
Mkuu hakuna kuzoea kwenda chooni mara kwa mara itakuwa tabia yako ya kudumu lakini dawa ipo ni kufanya mazoezi au kazi yenye kukutoa jasho jingi.
 
Mimi ndio maana mimeamua niache kula vyakula vyote nakunywa maji tu na maziwa ya mbuzi. Chakula ni Sumu
Mkuu huyo mbuzi na product zake ndio utata zaidi bora ng'ombe na product zake. Mbuzi anatengeneza tindikali nyingi kutokana na ulaji wake na mfumo wake. Mbuzi mzuri ni yule anaekula magadi, wapo baadi ya maeneo mkoani Kilimanjaro.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Vizuri watu wanamfahamu Dr Sebi. Nimemfuatilia muda sasa hadi mauti yalipomkuta akiwa mikononi mwa polisi huko Honduras.

Apumzike kwa amani kusaidia watu kuzingatia mpangilio mzuri wa vyakula jambo poa sana.

Your food your medicine and your medicine your food.

I've been vegetarian for 6 years now....I'm happy and healthy.
 
Naamfahamu huyo mtu na hata jinsi walivyomuua wamerekani
kampuni za Madawa a Kimerekani wakishirikiana na kikosi cha ujasusi wa cha kimarekani ndio waliofanya njama hizo za kumuuwa RIP Sebi alikuwa anawaamsha watu watumie vyakula na matunda kujitibia badala ya kutumia vidonge vya sumu.

dr-sebi-jpg.488099
 

Attachments

  • DR.SEBI.jpg
    DR.SEBI.jpg
    13.7 KB · Views: 261
Back
Top Bottom