Mfahamu malkia wa kuzimu

Wewe sali sala yako muda wowote, Mungu hana mipaka ya muda kwa wale wanaosali mbele zake

Mkuu Nafikiri Wewe Si Msomaji Wa Neno La Mungu Ndiyo Maana Huelewi Nini Kinazungumzwa.

Hivi Unafahamu Kwmb Ipo Jamii Ambayo Haijui Hata Kama Kuna Mungu Na Hata Ukimtaja Yesu Kwanza Watakuuliza Ni Nani.
Mfano Mzuri Nenda Barani Asia Kule Wanaabudu Miungu Na Si Mungu Umuabuduye Wewe Na Yesu Umfahamuye.

Unaposema Habari Za Kuzimu Ni Za Kusadikika Napata Ushahidi Kwmb Hujui Lolote Maana Ukisoma Kitabu Cha Ufunuo Kinazungumzia Sana Habari Hizo Za Kuzimu Pamoja Na Kupaa, Sasa Kama Unamwambini Yesu Naye Ni Miongoni Mwa Waasisi Wa Agano Jipya Halafu Unasema Habari Za Kuzimu Ni Kusadikika Unaelewa Nini Juu Ya Imani Yako?.

Waibrania 11.1- Inasema> "Imani Ni Kuwa Na Hakika Na Mambo Yatarajiwayo Na Bayana Na Yale Yasiyoonekana'.

Sasa Unapomtaja Yesu Ambaye Unamuamini Na Mwingine Akasema Hakuna Mtu Huyo, Wewe Unaushahidi Gani Wa Kumuaminisha Mtu Kwmb Yesu Alikuwepo Na Yuhai Ikiwa Kitabu Cha Waibrania Kinasema "Imani Ni Kuwa Na Hakika Na Mambo Yatarajiwayo Na Ni Bayana Na Yasiyoonekana".

Kitu Ambacho Kinanitia Shaka Kuhusu Uelewa Wako Ni Pale Ambapo Unasema Habari Za Kuzimu Ni Za Kusadikika Wakat Unafahamu Fika Kwmb Kuzimu Ni Makaz Ya Shetani Na Yesu Ni Miongoni Mwa Watu Walofika Na Tena Akamnyang'anya Shetani Funguo Ya Kuzimu.

MASWALI.
1. Wapi Ktk Bible Ambapo Wameandika Kwmb Hakuna Mwanadamu Ambaye Hajafika Kuzimu Tofauti Na Yesu?.

2. Bible Inaitambua Kuzimu Au Lah?

3. Kama Bible Inaitambua Kuzimu Nini Unapinga Kuhusu Kuzimu?.

4. Kama Kuzimu Ni Makazi Ya Shetani Na Wapo Watu Walio Na Wanaomwabudu Shetan, Kwanin Wasipajue?.

5. Wachawi Ni Watu Kama Sisi Na Kiwanda Cha Uchawi Kipo Kuzimu, Sasa Kwanini Unasema Habari Za Kuzimu Ni Za Kusadikika Na Hakuna Alofika Isipokuwa Yesu?.

Yapo Maswali Mengi Sana Ya Kuuliza Lakn Nichogundua Wewe Unaamini Upande Mmoja Na Kushndwa Kutambua Kwmb Kuamini Upande Uliopo Kumetokana Na Kuwepo Kwa Pande Mbili (Nuru&Giza).

Nashindwa Kukuhukumu Coz Sikujui Lakn Napata Picha Nzima Ya Uelewa Wako Mdogo Kuhusu Nuru Na Giza.

NB: If U Real Want To Understand, Be Flexible.

Lucifer ni jina alilokuwa akiitwa kabla ya KUASI, baada ya kuasi aliitwa SHETANI, yaani muasi au yeye anayeleta upinzani

Nadhani kuna mahala umeshindwa kupata picha ya kile nilichomainisha...sikusema hakuna kuzimu bali ninachosema stori zinazogaa kila kukicha na kila mtu kujikuta expert wa kujua mambo ya kuzimu ndio hapo nasema hayo mambo ni ya kusadikika tu...kama ulinielewa vyema nilisema hakuna ajuaye mambo ya mbinguni wala kuzimu bali ni tantalila za kuuza vitabu vya stori zao.
Ila Mkuu kama umeamua kuamini propaganda za kuzimu basi baki nazo Mimi sitaki kuamini hizi stori za kutunga kila kukicha na wala sihitaji ushahidi wa kuaminishwa...acha nife nikimuamini Yesu wangu tu hayo ya wasiomjua Yesu hayanihusu ila kwangu stori za kuzimu ni abunuasi tu

Sawa Mkuu Lakn Yesu Anatambua Kuzimu Na Nakusuhi Kasome Kitabu Cha Ufunuo Utagundua Mtoa Uzi Hana Tofauti Na Maandiko.

Duuu balaaaa

Huo muda ukiamka kuomba kuanzia saa 8 usiku kuna nguvu flani unahisi na hali ya tofauti.Kwenye huo muda nahafiki,hayo mengine wajuvi watakuja.
Kweli kabisa huo mda ukiomba utaona tu mabadiliko

Mada safi ila imeingia ndani sana kiasi cha kuibua mushkel kwa wenye imani zao.......

Kilenzi ndo namsikia leo! ila najua utawala wa shetani upo na umegawanywa kati ya Falme, mamlaka, wakuu wa giza na mamilioni ya majeshi ya pepo wa baya. bahati mbaya sifahamu hizo falme ni zipi? mamlaka ni zipi? wakuu wa giza ni akina nani? ila pepo wa baya kwa sehemu nawajua ndio majini, mazimwi na takataka nyingine,

Back tu Kilenzi; mtoa mada umewahi kumsikia mungu mke (goddess) aliyekuwa akiabudiwa zamani za nabii Yeremia, au mungu Mke aliyeitwa Artemi nyakati za mitume ambaye hekalu lake lilikuwa efeso (uturuki ya sasa) ambaye jina jingine huitwa Diana, malkia wa mbingu! na kwamba baada ya kuongoka kwa kaisari na kulazimisha watu wote wawe wakristo, hawa waabudu Diana katika karne ya saba katika mji wa Efeso ndio waliomtangaza Maria kuwa mama wa Mungu na Malkia wa Mbingu, kisha "kuzibatiza" sanamu zao zile zile za Artemi na kuziita za Maria!

Kwenye suala la maombi hapo ni shida , vita kubwa ya waumini ni maombi yenye majibu, yanayofika kwenye kiti cha Mungu na kuwa harufu ipendezayo. Kuna watu wanachanganya maombi na zile sala zao za kukariri kila siku. maombi ni sadaka. Kaini alitoa sadaka lakini haikuwahi kupokelewa na Mungu, Habili nae alitoa sadaka na ikawa harufu ya kumpendeza Mungu.

Maombi ni hivyo hivyo, kuna watu wanasali kila siku kama kaini lakini maombi yao hayajawahi kufika popote! Waombaji wa kweli wanajua maombi yao yanapopokelewa na yasipopokelewa (najua kwa wengi hapa ni hadithi za abunuas), na hujiuliza kwanini leo maombi yamekuwa makavu.

mombi yakifika kwa Mungu LAZIMA YAJIBIWE, tunakumbuka kornerio"...Maombi yako yamefika mbele zangu na kuwa ukumbusho..kwa hiyo nenda kamwite Petro.."

Lakini mpaka hatua hiyo ifikiwe NI VITA
Efeso 6:10 "... maana vita vyetu si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya Falme, Mamlaka, Wakuu wa giza... katika ulimwengu wa roho"

Wewe sali sala yako muda wowote, Mungu hana mipaka ya muda kwa wale wanaosali mbele zake
Kijana mapokeo ni hatari? WachaMungu wote kuanzia Marekani hadi China, Afrika kusini hadi Norway wanaomba usiku. Yesu mwenyewe aliomba sana Muda gani? usichanganye maombi na sala za mapokeo

Maombolezo 2:19 Inuka ulalamike usiku, mwanzo wa makesha yake, mimina moyo wako kama maji usoni kwa Bwana, Umwinulie mikono yako...

Nakubaliana na mtoa mada. mda mzuri wa kuomba ni usiku wa manane. pia mtoa mada ametoa siri kuwa mda huo mawakala wa shetani huachia anga! kuhusu maombi kufika kwa Mungu mda wote hii inategemea nguvu ya mwombaji. na tukumbuke tunatofautiana nguvu za kiroho! kama wewe maombi yako yanafika kwa Mungu mda wote nivizuri. lakini kwa waliokuwa na nguvu kidogo wanaweza tumia muda wa saa8-9 kuomba! hata taji mbinguni hatuta pewa za kufanana! wengine zitang'aa sana na wengine zitakuwa za mng'ao hififu! usijidanganye kuwa yote yaliisha msalabani. Msalabani Yesu alikamilisha ukombozi. hivyo anaekombolewa anapswa kuutafuta msalaba sio msalaba umtafute mkosaji. sasa unaona kuwa Yesu kwa upande wake alimaliza. lakini kwa upande wa mwanadamu ndio safari ilianza ya kutafuta ukombozi! kama utampinga mleta mada kwa kingezo hicho kuwa yote yaliisha msalabani. mbona bado **** matatizo kibao yanayomwandama mwanadamu? Musa alipoambiwa atengeneza nyoka wa shaba sio kwamba nyoka walikuwa wanawauma Israel wailisha! ila ailiwaambia kila aumwae na nyoka achangamuke kumwangalia nyoka wa shaba atapona! kwahio muda wa saa8-9 unafaa zaidi kwa wenye nguvu kidogo. kama una nguvu ya kutosha unaweza omba muda wote na utasikiwa. ila kama nguvu yako ni kidogo tumia hii nafasi.

Mkuu Naomba Tutambue Hili. Zipo Falme Mbili Za Kiroho,
1. Mungu (Nuru)
2. Shetani (Giza)

Ktk Falme Hizi Ukiwatoa Wanadamu Kunaviumbe Ambavyo Hutangulia Ambavyo Ndivyo Kiunganishi Kikubwa Kati Ya Mkuu Wa Nuru/Giza Na Wanadamu. Viumbe Hao Ni Kama Malaika, Majini, Mapepo Na Mengineyo.

Kujua Vyeo Vya Wahusika Hawa Inahitaji Elimu Ya Kiroho.

Tupo Pamoja

Mkuu Umenena Vizuri Sana Hapa, Natamani TAECO LTD Aone Huu Mchango Wako.

[quote uid=354345 name="lyoni" post=15489441]Umeweka uongo mwingi. Shetani ni Malaika waliomuasi Mungu. Malaika ni roho na roho haina jinsia...[/QUOTE]

Kama hujui mambo usiwe mbishi, ni vema ukaomba ufundishwe.
Sijakurupuka kuandika ujue, kuna mazito ninayoyajua siwezi kuyaweka hapa maana watu wengi ni wabishi halafu hawajui kitu.
Nimeona jinsi wanavyombishia mshana jr.
Usikimbilie kuniita muongo bila kufanya utafiti, ukiwa na akili hiyo, dunia itakupiga chenga Sana.
malaika na mapepo, wote ni roho, ila wana jinsia ktk ulimwengu wa roho.
Kwa mfano. malaika Mikael naye ni roho ila ni dume.
Hii strictly, kuna Mapepo jike na madume na yanaoana na kuzaana, wewe huwezi kuwaona Kwa macho, ni mambo ya kiroho.
Na Lucifer ni roho ila ni dume.
Usipende kuwa mbishi, penda kuwa mdadisi.

Hauitaj ufike hata darasa la saba ili uelewe, upo vzur kiogoz

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…