Mfahamu kokopeli

Mfahamu kokopeli

Kuna kitu huwa nakiepuka sana! Kuvaa nguo zenye maandishi na michoro nisiyojua maana wala tafsiri yake.. Kwakuwa huwezi jua umevaa kitu kilichoandikwa nini na tafsiri yake ninini

Lakini zamani kama miaka 15 hivi iliyopita niliwahi kununua Tshirt yenye kikaragosi kinachopuliza zumari kikiwa kimetanguliza mbele vikaragosi vingine vidogo kama vitoto na chini yake kukiwa na maandishi ya kokopeli/cocopeli

Kwa mahaba makubwa na kile kikaragosi na maandishi yake T-shirt ile ilipochakaa niliichukua mpaka kwa mchoraji anichoree ile picha ibaki kama kumbukumbu! Sikuwahi kumuona tena!

Leo nimepita mitandaoni na kukutana na kokopeli na hii ndio tafsiri yake!

Kokopeli ni pepo anayeonyeshwa kama mpiga filimbi mwenye nundu (mara nyingi akiwa na manyoya kichwani), ambaye ameheshimiwa na baadhi ya tamaduni za Wenyeji wa Amerika Kusini-Magharibi mwa Marekani.

Kama miungu mingi ya uzazi, Kokopelli anasimamia uzazi na kilimo. Yeye pia ni mungu wa hila(figisu) na anawakilisha roho ya muziki.

Utamaduni wa Hopi unaamini kwamba yeye hubeba watoto ambao hawajazaliwa mgongoni mwake na kuwasambaza kwa wanawake.

•Mpagani wa Ulimwengu wa Kusini

KOKOPELLI

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh... hatari sana
 
dae28094322aaba3bf97bdfbd21320d2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KOKOPELLI

Kuna petroglyphs za Kokopelli zilizoachwa na kuhama kwa michoro ya watu kwenye miamba njia yote kutoka ncha ya Amerika Kusini hadi Kanada. Kicheza filimbi hii ya kupendeza yenye nundu ni ishara inayopendwa na inayopendwa sana ya Wenyeji wa Amerika.

Katika nundu mgongoni mwake amebeba mbegu za mimea na maua zikimdhihirisha kama ishara ya rutuba. Muziki wa filimbi yake unaashiria joto.
0fcf65f5b17a604c75faf83caf09576b.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie wasivae pia nguo au bidhaa za varsace na lacoste.

Varsace=medusa au mandoza,demon ambaye anasadikika kugeuza watu kuwa jiwe baada tu ya kumtazama.

Lacoste=demon,mwenye asili ya mamba na dragon..ukisema uongo tu kwenye simu(aidha kwa sms au maongezi)uko under influence ya demon lacoste.
 
7a2b5ba623bf669103e29a88cb308df1.jpg

View attachment 2891418

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom