Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,443
- 110,231
Salute..
Kuna kawimbo kamoja ka RC kanaimba kua Maajabu ya Mungu kaumba watu wa aina mbalimbali, wanene,wafupi,weusi,warefu,vichaa,viziwi nk nk..
Kama umeona mengi duniani basi hili linaweza kua geni kwako.
Josephine Myrtle Corbin kazaliwa May 12, 1868 na kufariki May 6, 1928 (Wanasema kuna uhusiano mkubwa kati ya siku ya kuzaliwa na kufa, mfano halisi angalia hizo tarehe na miaka ya huyo mdada.afu kafa na miaka 59 bado siku 6 ifike birthday yake)
Alikua ni raia wa marekani alikua anajishughulisha na michezo ya Sarakasi (Sideshow) ambae alikua na tatizo linaitwa Dipygus. Mtu mwenye tatizo hilo anakua na Nyonga mbili upande mmoja na mwingine..nyonga ndio sehemu ambapo Uti wa mgongo unaishia hafu viungo vya chini huota/hujishikisha hapo (Ref:wanyama wenye uti wa mgongo).
Hivyo basi viungo vya mwili hugawanyika pindi mtu mwemye tatizo hilo anapozidi kukukua.
Kwa mdada huyu Josephine yeye miguu iliota ikawa minne (4) yaani kulikua na miguu ya ndani na miguu ya nje! Miguu ya ndani ilikua ni midogo na ya nje ilikua mikubwa ila utofauti ni kua mguu mmoja mkubwa ulikua pair na mguu mmoja mdogo (Yaani mguu wake mkubwa mmoja mwenzake alikua sio mguu mkubwa mwingine bali mdogo mmoja) Josephine alikua na uwezo wa kuihamisha/kuinyenyua miguu yake ile midogo lakini ilikua haina nguvu kwenye kutembea hivyo alitumia ile miguu mikubwa kutembea.
Kuna wanaume hawana huruma, Imagine kuna baharia alimuoa akamzalisha watoto
Hivi mnawaza navyowaza kuhusu huyu mdada??
GodNghts...
-Vinci