Mfahamu Edward Mordrake, binadamu mwenye sura mbili

f63efcd58cd3f37fc2f0a8eaafbb8941.jpg
 
Ni muujiza sana picha quality kama hii halafu ni miaka zaidi ya 100 imepita

Wala sio miujiza wakuu, maendeleo ya teknolojia sasa hivi ni makubwa mno.

Unaweza kuichukua picha ya zamani yenye quality mbovu kabisa ukaimodify ikawa na quality ya kuridhisha kabisa!

Ruge Mutahaba aliwahi kusema, Kuna vitu viwili vya kuogopwa zaidi duniani, Mungu na teknolojia.
Hizo picha ndo za miaka ya 1887-1910? Very interesting
 
Wala sio miujiza wakuu, maendeleo ya teknolojia sasa hivi ni makubwa mno.

Unaweza kuichukua picha ya zamani yenye quality mbovu kabisa ukaimodify ikawa na quality ya kuridhisha kabisa!

Ruge Mutahaba aliwahi kusema, Kuna vitu viwili vya kuogopwa zaidi duniani, Mungu na teknolojia.
Achana na technology hiyo kitu ya Edward haipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom