Mfahamu DJ maalufu Afrika Mashariki, uwezo wake, ujuzi wake na mwonekano wake.

🔥🔥🔥🔥 🗣️ Piga kelele kwa DJ bora kabisa wa Afrika Mashariki na Kati.

Naombeni nipewe mrejesho kwa wale walio uona huo muonekano, uwezo na ujuzi wa huyo DJ maarufu! Mimi nimewahi tu kuchangia eti.....! 😁😁🥵
 
Safi sana

Iko siku watakubalii tu

Ila sahv kimoyomoyo wanakubali

Ova
 
Back
Top Bottom