Wala usijali Mjenda Chilo,Kongwa yote na vijiji vyake kama Mbande,Chamae,Hogoro,Banyibanyi,Songambele,Zoissa etc wameanza kuelewa nguvu ya CDM kwani mpaka 2014 utasikia mengi juu ya kukataliwa kwa MagambaChadema kongwa na mpwapwa mkiweza nitaamini maana kwa kumbukumbu zangu za karibu inawezekana Ccm ndo chama maarufu ambacho ukiacha wabunge JK alipata over 90% ya kura zote. Ngoja tuone
masikini we....hatuna hizo kaka...poleLengo letu nchi hii iwe ya kikristo na bendera tutabadilisha tuweke msalaba tutafanikiwa tu bwana yesu yu pamoja nasi.
Lengo letu nchi hii iwe ya kikristo na bendera tutabadilisha tuweke msalaba tutafanikiwa tu bwana yesu yu pamoja nasi.
Hata Slaa tulimtema CCM.
Wenye akili timamu kama Shamban Simba kasha washitukia nyie ni wahuni mnalenu jambo, mnataka kuutumia uislam kama mwavuli tu...Lengo letu nchi hii iwe ya kikristo na bendera tutabadilisha tuweke msalaba tutafanikiwa tu bwana yesu yu pamoja nasi.
acha uppzi wewe. unategemea nani atsadiki huu upuuzi wako??Lengo letu nchi hii iwe ya kikristo na bendera tutabadilisha tuweke msalaba tutafanikiwa tu bwana yesu yu pamoja nasi.
Mlimetema, unajua maana ya kumtema? je hamjutii