Uchaguzi 2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

Sasa si ufafanue ili tuelewe vizuri. Mfano mmoja tu rais wa JMT ametoa maagizo barabara ya Sengerema Nyehunge itengenezwe.Hapo kosa lipo wapi?
Ccm ni chama ambacho kina assets nyingi. Mapato yake yanayosha kujiendesha kwa kila namna. Weka uthibitisho wamechota pesa hazina.
CCM hawana pesa, pesa wanachota Hazina BOT kienyeji uthibitisho ni jinsi walivyonunua Ndege kienyeji, jinsi walivyojenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge , Assets nyingi zipi?
 
Hawa ni wale wanaCdm ambao akili zao Mbowe ameziroga.
Hawa ni wanaccm ambao akili zao ni sawa na za wale wanaoshinda gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz wakikaririshwa ujinga huku wakivuta Bangi.
 
Nchi ina miaka 59 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani,Mda huu Tanzania ilipaswa iwe na kura ya veto iwe kwenye G5 kwani Tanzania kwa utajiri iliokuwanao ipo level ya America, German, China, Japan, India, Urusi, Canada, Oman, Qatar, England, na mataifa mengine tajiri zaidi, CCM inafuja pesa za walipa kodi, inazitumia kudidimiza demokrasia, pesa inayotumika kuwabambikia kesi, kununua wabunge madiwani, kudhoofisha chadema kuua upinzani na sasa ushetani mpya wa kupita bila kupingwa ni pesa nyingi sana, ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda kila kata, vyuo vikuu kila wilaya, Hosptal za rufaa kubwa zenye madaktari Bingwa kila mkoa mpaka Nchi jirani kuja kutibiwa Tanzania, pesa zote za viwanda kaenda kuwekeza chato Airport na mbuga mpya ya wanyama ambao sasa wameliwa na wananchi wa vijijini vya jirani mpaka kukaribia kumalizika.
 
Mbowe nae hataki kabisa kisikia habari ya kuvunjika mguu wakati alipigwa rungu kwenye kiwiko
 
Tuliwaambia CCM ipo well organized watu wakaja na ngojera za nyomi la wavuta bangi , CCM kirumba imejaa watu wakaja na ngojera et watoto wamesombwa , hii mbinu ya Chadema kutokubali uimara wa CCM itawacost Sana , CCM wanajua vizur kabisa Chadema hawawez kurun show effectively cse wapo poor funded.
Ina maana hawakujua gharama halisi za uchaguzi wakajipanga? Miaka mitano yote wameshindwa kujipanga? Walisema kila mbunge anakatwa posho kwa ajili ya kampeni, ziko wapi hizo hela?

Hili na mengine, ni ushahidi tosha kuwa chadema haiwezi kuunda serikali kwa sababu kama wabashindwa kupanga bajeti ndani ya chama, wataweza ngazi ya nchi?
Kwa sababu wapanga bajeti ngazi ya chama ndiyo haohao wapanga bajeti ya nchi, chadema tayari wameonesha udhaifu.

Lisu alipofika kuomba kura Njombe alitegemea aungwe mkono na Mwanyika. Kwa bahati mbaya Mwanyika alishatubu na kurudi nyumbani baada ya kuona biashara ya accacia hatatoboa nayo. Kosa liko wapi? Alidai alipigwa risasi kwa sababu zenye uhusiano na Mwanyika. Kuna uhusiano gani? Akiri kwamba aliwasaidia accacia kuidhulumu nchi tena kwa makusudi. Accacia wenyewe wamemtelekeza, anamlilia Mwanyika.

Chadema ni chama kizuri sana ila Lisu anapoteza dira ya Cjadema. Halafu hakuelewa kwanini Mbowe alikubali kumwachia nafasi hii kwa urahisi. Mbowe akili nyingi.

Lisu rudi kwa mbowe ukaombe samahni kwa kushindana na babako mlezi hadi unataka uwe mkubwa kama yeye. Hizi siku zaidi ya 40 zilizobaki utatembea kwa miguu.
 
Kauli za ''kiutu uzima'' ni kama '

'hatuna pesa za kampeni'', ''mguu wangu haukunjuki'' ''habari zangu hazirushwi'',''mshindani wangu anahela sana''.
Mara mgimbea wa CCM alikuwa fisadi"
Amesahau Lowasa alipokuwa kwao walisemaji.
 
Tuliwaambia CCM ipo well organized watu wakaja na ngojera za nyomi la wavuta bangi , CCM kirumba imejaa watu wakaja na ngojera et watoto wamesombwa , hii mbinu ya Chadema kutokubali uimara wa CCM itawacost Sana , CCM wanajua vizur kabisa Chadema hawawez kurun show effectively cse wapo poor funded.
Wengi ni wanafunzi na walimu waliohudhuria kwa SHURUTI, na mashabiki wa wasanii.. Wengi wao hawana habari na jiwe
 
Mtu alieshiriki kumpokea na kumsafisha Lowasa kwa aliyokuwa anatuhumiwa nayo anapolalama mgombea ubunge wa Njombe ana kashfa ya ufisadi hivyo hapaswi kupitishwa na chama chake kugombea inatoa tafsiri moja tu, Lissu hajapona...
 
Acha mambo ya kitoto,sio kila hoja ya msingi unapaswa uipinge. Tumia akili wewe jibaba.

Hivi Uvccm mnaweza kabisa kuja humu jukwaani na hoja za msingi kabisa!! Nyinyi kazi yenu ni moja tu; kubweka pale mnapotakiwa kubweka na wakuu wenu. Basi!
 
Wengi ni wanafunzi na walimu waliohudhuria kwa SHURUTI, na mashabiki wa wasanii.. Wengi wao hawana habari na jiwe
Una matatizo kichwani , rudi kafanye utafti upya achana na propaganda za mitandaoni , mtachakazwa vibaya mno, hakuna mgombea wa kumcatch JPM kanda ya ziwa hasa shinyanga, Geita, Tabora , Mwanza , mikoa ambayo huamua hatima ya mgombea uraisi pia , ukipigwa hii mikoa nenda kalale biashara imeisha .....
 
Hivi Uvccm mnaweza kabisa kuja humu jukwaani na hoja za msingi kabisa!! Nyinyi kazi yenu ni moja tu; kubweka pale mnapotakiwa kubweka na wakuu wenu. Basi!
Ahaaa! Kwa hiyo hata sisi watu wazima ambao tunachoangalia ni kusema ukweli tupo Uvccm? Tunaweka hoja za msingi bila kujali chama kwa maslahi ya taifa letu.
 
Ndugu zangu,

Sisi waswahili huwa tuna msemo ''ukiona kenge anatoa damu masikioni ujue anakufa''..hali ipo hivi, yawapasa muelewe. Hakuna mtu anayeweza kusema ''nimeshindwa'' au ''tumeshindwa'' hasa ikiwa alishajigamba na kujimwambafai kuwa anashinda saa mbili asubuhi.

Kauli za ''kiutu uzima'' ni kama ''hatuna pesa za kampeni'', ''mguu wangu haukunjuki'' ''habaru zangu hazirushwi'',''mshindani wangu anahela sana''.

Kwa wale tunaojua hesabu za ''cross multiplications'' tunasema ''ikiwa Tundu kafanya mikutano 10 ndani ya siku 10 basi ndani ya siku 60 anatafanya mikutano 60''

Ukweli ni kuwa angalau ya watanzania asilimia 70 wanaishi vijijini sasa kama kishagundua kuwa hawezi kukutana na kushawishi wanachi walio wengi wampigie kura, ni dhahiri kishaanguka.

Wakati umefika ambao Robert Amsterdam amejichokea na kutokomea bila kuandika ''vijibarua vyake uchwara''.

Uraisi sio Urahisi.
halafu kweli jamani.Bw. Amsterdam kakimbilia wapi? Au alikuwa ni yeye mwenyewe anajifanya Amsterdam ?
 
Kesi yake ya kukamatwa akitoa rushwa inaendaje?
Kibajaji aliwaonya tangu mwaka jana kuwa; Ni bora tufanye uchaguzi wa wabunge ili kuokoa pesa za serikali na tumuache mAGUFULI aendelee na kazi huku akisubiri kuapishwa, haya machedema yakajigamba kuwa yana ubavu.

Sasa maji ya shingo. Tunawapa ONYO chadema wasipopata kura asilimia 5% ya kura zote tutawashitaki ICC kwa kosa la uhalifu wa uchumi wa nchi
 
Back
Top Bottom