Meya wa Ubungo akabidhi mashtaka yake dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye tume ya Maadili

meya wa Ubungo, Huku Goba hatuna barabara wala maji. Haya ndo mambo ya Msingi. Hicho cheti hata kama kipo au hakipo hakiwezi kuleta maji na barabara Goba. Tafadhali fanyia kazi, achana na mambo ya Makoonda.
kila jambo ni lamsingi na lazima haki itendeke kwa kila mmoja,je mama wa kijana aliye fungwa kosa same na la RC wa dar akisikia kauli yako takufikiriaje
 
meya wa Ubungo, Huku Goba hatuna barabara wala maji. Haya ndo mambo ya Msingi. Hicho cheti hata kama kipo au hakipo hakiwezi kuleta maji na barabara Goba. Tafadhali fanyia kazi, achana na mambo ya Makoonda.
Unakaa Goba gani ww isiyokua na Barabara, au unataka Ujengewe Barabara Mpaka Mlangoni, Kuhusu Maji Dawasa wameshatoa mwongozo nenda serikali za mtaa wako jaza fomu kisha peleka Dawasa.
 
HUYU MEYA NAE BURE KABISA ! TULIDHANI ANASHTAKI MAHAKAMANI ! KAOGOPA NINI KWENDA MAHAKAMANI ?
Amepokea ushauri wa kisheria labda...si unajua bunge likianza watu wakitaka mjadala wanaweza kuambiwa hamna mjadala kesi ipo mahakamani.."nimewaza tu mwanawani"
 
meya wa Ubungo, Huku Goba hatuna barabara wala maji. Haya ndo mambo ya Msingi. Hicho cheti hata kama kipo au hakipo hakiwezi kuleta maji na barabara Goba. Tafadhali fanyia kazi, achana na mambo ya Makoonda.
Hiyo ni kazi ya Tanroad na Dawasco
 
Tutashtaki kila mahali,mpaka kwa wachawi...usiposhughulikiwa na mmeo utashughulikiwa na Wachawi.
Hamna namna.
 
Tume ya maadili ndio Mahakamani?

Kwanini hamtaki kwenda Mahakamani?
 
meya wa Ubungo, Huku Goba hatuna barabara wala maji. Haya ndo mambo ya Msingi. Hicho cheti hata kama kipo au hakipo hakiwezi kuleta maji na barabara Goba. Tafadhali fanyia kazi, achana na mambo ya Makoonda.
unakaa Goba gani isiyo na barabara wala maji? kama barabara hamna umefikaje huko? na yale magari yaliopewa ruti za MBEZI - KAWE via GOBA, MBEZI - GOBA MPAKANI, MBEZI - TANGI BOVU via GOBA, yanapita barabara za wapi?
 
SAKATA LA RC MAKONDA LATUA MAHAKAMANI

Meya wa Ubungo,Boniface Jacob amefungua mashtaka Matano dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda mbele ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.Meya huyo amesema amepeleka mashtaka hayo kama Mwananchi na mkazi wa Dar es Salaam anayechukizwa na vitendo vya ukiukaji wa maadili ya uongozi vinavyofanywa na Mkuu huyo wa Mkoa
tmp_23943-FB_IMG_1490176304453-1218843255.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mkuu jamaaaRC amepigwa BAN tayari kama vyombo vya habati vilivyo kubaliana so hautaona ukiandika jina lake.. Wanakuwekea vi ******* hawamtaki JF hahahaaaaaa
 
Back
Top Bottom