Meya wa Kinondoni (UKAWA) atoa siku 7 kwa wakwepa kodi kulipa, haya maoni yenu hapo

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kilichofanya nilete hii habari ni pale ambapo Serikali inayoongozwa na Raisi ilipotoa muda kwa wadaiwa sugu kulipa madeni yao wafuasi wa chadema mpka wakubwa wao walikuja juu na kumshutumu Raisi Magufuli kwamba watu wanakwepa kodi badala ya kufungwa wanapewa muda, haya sasa Meya wa Kinondoni (ukawa) ametoa siku saba kwa wakwepa kodi kulipa deni, mnasemaje hapo?? Kwa nini na yeye asiwafunge badala yake anawapa muda?

pic+kinondoni.jpg

Kinondoni tax evaders given seven days to pay up Sh12bn
 
Mtawajuwa ukawa nyie vijukuu wa mkoloni mweusi
 
Meya wa Kinondoni Joshua kupitia UKAWA- ameibua ufisadi wa bilioni 10 za matangazo na mabango mbalimbali manispaa ya kinondoni na kutoa siku tatu wenye mabango kulipa la sivyo yataondolewa barabarani , maungio ya barabara- mpaka sasa ni 2.5 bilioni ndo zilizokusanywa.

Hii imekwamisha maendeleo ya Kinondoni kutokana na wajanja wachache kukiuka taratibu.

Wenye mambago Kinondoni ; isalimisheni
 
Kumbe ndiyo maana ccm hawataki ukawa wachukue umeya wa jiji la dsm kwa kujua kwamba kuna uozo mwingi utaibuliwa, mzee wa majipu kuna kibarua cha majipu huko kinindoni

HIYO NI KAZI YA WATU WA KINONDONI..MAGUFURI ANADEAL NA MAMBO YA NGAZI YA JUU HIVYO VIONGOZI CHINI YAKE LAZIMA NAO WACONYESHE UWEZO WA KUMSAPPORT
 
Hii nchi kila kona wizi tu!
Mara huku jipu, kule jipu, hapo jipu, pale jipu na sasa halmashauri za majiji nako kunamajipu uchungu pia.

Raia.
 
HIYO NI KAZI YA WATU WA KINONDONI..MAGUFURI ANADEAL NA MAMBO YA NGAZI YA JUU HIVYO VIONGOZI CHINI YAKE LAZIMA NAO WACONYESHE UWEZO WA KUMSAPPORT
Kweli mkuu tumwache mzee wa majipu adili na majipu makubwa makubwa ambayo kitaalamu yanaitwa pyomyositis
 
Na yule aliyepata APPRAISAL toka kwa bosi wake ilikuwaje hakuliona hilo jipu???Atamuelezaje boss wake.
 
MEYA WA KINONDONI JOSHUA KUPITIA UKAWA- AMEIBUA UFISADI WA BILIONI 10 ZA MATANGAZO NA MABANGO MBALIMBALI MANISPAA YA KINONDONI NA KUTOA SIKU TATU WENYE MABANGO KULIPA LA SIVYO YATAONDOLEWA BARABARANI , MAUNGIO YA BARABARA- MPAKA SASA NI 2.5 BILIONI NDO ZILIZOKUSANYWA.
HII IMEKWAMISHA MAENDELEO YA KINONDONDONI KUTOKANA NA WAJANJA WACHACHE KUKIUKA TARATIBU

WENYE MAMBAGO KINONDONI ; JISALIMISHENI

Kauli na maamuzi mengine! '' MABANGO KULIPA LA SIVYO YATAONDOLEWA BARABARANI , MAUNGIO YA BARABARA- MPAKA SASA NI 2.5 BILIONI NDO ZILIZOKUSANYWA''

Ina maana hana majina mpaka sasa?
Anatakiwa kuzungumza kuwa wasipolipa ndani ya Muda huo atawaburuza mahakamani ili walipe na huko pia atafikisha ombi la kuyango'a tena kwa gharama ya wahusika.
 
Kwanza unatakiwa ujue miezi mitatu iliyopita CCM ndio iliingiza kwa kuweka Mabango kila kona ya Dar. Na wao bila shaka ndio wadaiwa sugu na ndio maana hawataki manispaa na jiji vishikiliwe na UKAWA.
 
Tusiwe too negative kwa kila jambo jema. At least amefukunyua ufisadi huo wa Bilioni 10. Tena walikuja na wazo lipya la kuhire external consultant wa kufanya investigations na kupata hizo findings.
 
Kilichofanya nilete hii habari ni pale ambapo Serikali inayoongozwa na Raisi ilipotoa muda kwa wadaiwa sugu kulipa madeni yao wafuasi wa chadema mpka wakubwa wao walikuja juu na kumshutumu Raisi Magufuli kwamba watu wanakwepa kodi badala ya kufungwa wanapewa muda, haya sasa Meya wa Kinondoni (ukawa) ametoa siku saba kwa wakwepa kodi kulipa deni, mnasemaje hapo?? Kwa nini na yeye asiwafunge badala yake anawapa muda?

pic+kinondoni.jpg

Kinondoni tax evaders given seven days to pay up Sh12bn
Huyu Meya wa UKAWA alietoa amri zikusanywe na Yule wa CCM aliepita ambae hakuzikusanya nani wa kulaumiwa??
 
Huyu Meya wa UKAWA alietoa amri zikusanywe na Yule wa CCM aliepita ambae hakuzikusanya nani wa kulaumiwa??

Inaelekea haujanielewa nilichoamanisha, ni hivi Serikali ya Raisi Magufuli ilitoa siku kadhaa kwa waliokwepa kodi walipe ukawa na wapinzani wengine wakamshukia Raisi Magufuli na Serikali yake kwamba kwa nini mtu anakwepa kodi halafu anapewa muda alipe badala ya kushitakiwa?
Sasa leo hii tunaona Meya wa K'ni (ukawa) ametoa siku 7 kwa wakwepa kodi kulipa, hivyo kwa nini walikuwa wanamshukia Raisi Magufuli kama na wao wanafanya hivyo hivyo? Hayo ndiyo maudhui ya hii Mada!
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Back
Top Bottom