Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 950
- 2,866
Safi meya!Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji,sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili ya Wananchi jee kwanini hawatoi majibu?
Anawezaje kulalamika ??!Kumekucha
Meya Songoro mtata sana 😂Anawezaje kulalamika ??!
Kwani sio mwenzetu ??!!
Naona falsafa ya Nchimbi imeanza kutumika !!Meya Songoro mtata sana 😂
Mama ana upiga mwingiMeya wa Kinondoni alalamika hakuna maji,sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili ya Wananchi jee kwanini hawatoi majibu?
KKUNaona falsafa ya Nchimbi imeanza kutumika !!
Kwani yeye si mwana ccm si waulizane kwenye vikao vyao?Meya wa Kinondoni alalamika hakuna maji,sukari na Umeme unakatika katika, mambo hayo yalikuwa hayapo wakati wa Magufuli na wahusika hawatoi majibu wanachengachenga na viongozi hao wapo kwa ajili ya Wananchi jee kwanini hawatoi majibu?
Mama nchi imemshinda mapema sana.Aliishatahadhalishwa hao vijana walioyemwa na JPM na yeye kuwarudisha tena itamgharimu sasa mwache ayaone na kishazingirwaMama ana upiga mwingi