Meya wa jiji la Tanga ametia aibu ya kuanzia mwaka

12:35 ni saa saba mchana kasoro dk 25!
Mwalimu alipaswa kuandika 06:35 or 6:35!!

City Mayor was right...

Ni kweli tumechoshwa na hii hali yetu kwa sasa tunayopitia..

TUKUMBUKE kutumia akili badala ya hisia zetu... pale tunapoamua kujenga Hoja za kupinga ili kuleta Maendeleo...

... acha wendawazimu! Mbona Meya alielewa? Mbona aliuliza (kwa maneno) "... mbona umeandika saa kumi na mbili na dakika thelathini na tano?" badala ya kuuliza "... saa sita na dakika thelathini na tano?". In short maana ilikuwa very clear and correct! Na kama muda kuandikwa kwa makosa ingekuwa kwa daftari zima/walimu wote na sio kwa mwalimu yule tu!
 
Wale wa pembeni yake mbona walishindwa kumstua Meya😂😂😂wamemwacha tu anaaibika
... mtu kama yule unamstua wa kazi gani Mkuu? Mtu asiyetumia busara kazi kufokafoka hata pasipostahili unamwacha tu.
 
Mkuu pale hatukuona walivyoandika ila tulisikia walichoongea Mwalimu amesema alifika Shuleni saa moja kasoro dakika ishirini na tano Meya akaonekana hakubaliani na alichosema Mwalimu kwa kumwambia mbona umeandika umefika kazini saa kumi na mbili na dakika thethini na tano?
Sasa hapo tunatakiwa kuangalia muda aliotamka Mwalimu na alioutamka Meya kunatofauti na kama hakuna tofauti inabidi tukubali kuwa Meya ni Kilaza
12:35 ni saa saba mchana kasoro dk 25!
Mwalimu alipaswa kuandika 06:35 or 6:35!!

City Mayor was right...

Ni kweli tumechoshwa na hii hali yetu kwa sasa tunayopitia..

TUKUMBUKE kutumia akili badala ya hisia zetu... pale tunapoamua kujenga Hoja za kupinga ili kuleta Maendeleo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meya anamuuliza mwalimu mwalimu umefika kazini saa ngapi?

Mwalimu- nimefika saa moja kasoro dk 25,

Meya- Mbona umeandika kwenye daftari saa 12:35?

Meya akadhani mwalimu amemdanganya,hahahaha.

Tunapotagutaga kiki kupitia makamera tuhakikishe kile tunachotaka kujipatia umaarufu tunakijua vizuri.

Tena kwa jinsi tunavyoelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa tutashuhudia kiki za hovyo sana.

Yaani siku hizi watumishi wa umma ndio kila kiongozi anaona mahala pazuri pa kutafutia kiki kupitia midia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Laana ya kuiba kura za umeya wa Tanga inawatafuna.
 
... acha wendawazimu! Mbona Meya alielewa? Mbona aliuliza (kwa maneno) "... mbona umeandika saa kumi na mbili na dakika thelathini na tano?" badala ya kuuliza "... saa sita na dakika thelathini na tano?". In short maana ilikuwa very clear and correct! Na kama muda kuandikwa kwa makosa ingekuwa kwa daftari zima/walimu wote na sio kwa mwalimu yule tu!

Sote tunajua muda uliandikwa kimakosa.
Muhimu hapa ni kuangalia,
Je kuandika ktk kitabu time: 12:35 ni nn maana yake.?

Tupunguze hisia.
Mayor nae si binadamu?
Nilitegemea yy amsahihishe yule Mwalimu.

Hapo hoja ikuwa Mayor kushindwa kutoa maelekezo mazuri ya kumwezesha Mwalimu kuandika vzr.
 
... kaka, hebu tutumie akili kidogo tu! Tulicholetewa humu ni clip ya majibizano kati ya Meya na Mwalimu; hatukuletewa maandishi ya muda humu. Majibizano yenyewe yalikuwa hivi:-

Mwalimu: "... saa moja kasoro dakika ishirini na tano ..."
Meya: "... sasa mbona umeandika saa kumi na mbili na dakika thelathini na tano?".

Bado hujaelewa logic ya huu uzi? Duh!
 
Meya alinichekesha alishindwa kujua kuwa saa 12.35 ni sawa na kusema saa moja kasoro dakiki 25 yeye akawa anakomaa kumwonesha mwalimu amechelewa
 
Uyo dada kaonyesha dharau gani hapo zaidi ya woga nakukosa kujiamini kwasababu yakufokewa fokewa.na huo muda wakumuelimisha uyo muheshimiwa angeutoa wapi kwa mfano au ulitaka aitwe mkorofi na mbishi.Tatizo ni kwamba hawa wanasiasa wanapenda kunyenyekewa nakuogopwa kama miungu watu.
Umetumia maneno mazuri "unamwonyesha heshima gani?" Mtu hapotezi heshima kwa kuwa "Mjinga au mpumabavu!" Tuanahitaji uvumilivu fulani kwani angekuwa ni baba yake au kaka yake angeonyesha dharau. Siiungi mkono tabia ya Mhe. Diwani lakini vile vile siungi mkono dharau. Hatutafika tunakotakiwa kwenda. Alipata nafasi ya kutumia taaluma yake kumfundisha Mhe. Diwani kuwa hakuna tofauti ya kile alichokisema na alichokiandika. Hii fursa hakuiona. Mnabaki katika ushindani, malumbano. Jiamini, itumie taaluma kila mahali na kwa kila mtu
 
Wako wengi Mkuu, Zaidi ya 50% ya WanaCCM ni hovyo sana..
Hao tunawaita CCM mashabiki tofauti na bibi zetu tuliowakuta wamekunywa maji ya bendera. Sio japo mjumbe wa nyumba kumi ila ana bendera ya ccm kaning'iniza darini.

CCM iko hoi dhidi ya wachumia tumbo na wapenda madaraka. CCM halisi wameamua kukaa pembeni saiv kuwaachia mashabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: prs

Similar Discussions

Back
Top Bottom