Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,717
- 12,802
Shida ni kwamba huko kuna vilaza wengi na kilanja mkubwa alisema Sadam ni Rais wa KuwaitKuna watu humu jukwaani wamelewa siasa za vyama vya siasa. Wao kila kitu wanakichukulia kichama.
Sent using Jamii Forums mobile app