Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Nimecheka sana, yaani mtu anahama alafu bado anawaza kuiongoza Tena hiyo kata!, Inamaana ccm hakuna watu wenye uwezo wa kuiongoza hiyo kata mpaka yeye tu, mimi nadhani itoshe Sasa watu kuwamia ccm kwa lengo la kupata vyeo, wanna ccm amkeni haiwezekani mkitumikie chama miaka yote hiyo alafu mwisho wasiku anatokea mtu anahamia huko kwa ahadi ya zawadi ya cheo, huku nyinyi mliokipigania chama mnaishia kuvaa sare mitaani🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
 
Meya wa Jiji la Arusha (Chadema), Kalisti Lazaro leo Novemba 19, 2019 amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) #MwananchiUpdates
Huwa mnanishangaza sana mnaorudia habari iliyoko tayari ktk uzi
 
Bad enough mbugila mbugila wa aina hii bado wamebeba dhamana ya kuwatumikia wananchi...ptuuuuuuuh dhamira zenu zitawasuta hadi kaburini,na laana ya kutekenye hisia za wananchi waliowaamini kisha kwa sababu za kipuuzi kabisa mnaamua kuwatelekeza zitatafuna hata kizazi chenu cha tano shubaaamit!
 
Shida ya wanunuaji wenyewe ni kwa sababu ukiwakatalia hata kwa dau waliloamua kutoa wanakuambia wanakutoa roho sasa nani afe kwa amiri ya ujinga wawanasiasa wajinga kama ccm
Duh.. Kumbe ni wajinga hivyo?
Nilifikiri wakitishiwa wanatoka hadharani ili dunia na watz wajue mbivu na mbichi.
. Kwahiyo kumbe hata wakipewa nchi wakitishiwa tu wanatuuza hata sisi watz tukiwa ndani na hai kabisa?
 
Hongera sana lakini usiseme sana kwani utaulizwa "kwa nini hukuyasema mwanzoni?"
Anyway,ngoja tuandike kidogo.

Hivi Chama tawala kinaamini katika jambo gani?Kibaki peke yake bila ushindani wowote?Kama ndiyo mawazo yao kwa kweli "wameisimamisha saa ili kuhifadhi muda"hakuna wanachokifanya.

Kwa hali hii wabunge wote machachari wa upinzani hawatarudi bungeni lakini kama mwanafunzi wa darasa la saba anavyofurahia kumaliza shule bila ya kujua kuwa ndio kwanza shule inaanaza ni hivyo hivyo kwa CCM.
Nimeipenda hii maneno!!!!
 
Back
Top Bottom