Meya wa arusha kupitia chadema ajiuzulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya wa arusha kupitia chadema ajiuzulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samirnasri, Jan 2, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Meya wa manispaa ya Arusha aliyechaguliwa na madiwani wa CHADEMA Estomih Mallah amejiuzulu baada ya kutafakari kwa kina na kusema kwamba kung'ang'ania kukalia nafasi hiyo ni kuendelea kukiuka sheria ambazo tayari zimekiukwa na CCM.

  Source: taarifa ya habari radio one saa mbili usiku.
   
 2. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Taarifa hazijitoshelezi waweza kutuongezea chochote zaidi?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Na mdudu anyeitwa serikali yupo, na yuko tu silent kuhusu kadhia hiyo...May i know...Hivi bado kuna waziri wa utawala bora kwenye baraza la mawaziri kweli, au safari hii nafasi hiyo iliwekwa kushoto?
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  subiri next move
  aejiweka pembeni kushinikiza uchaguzi mpya
  subri tarehe 5
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Manispaa ya Arusha hapatakalika mpaka atakapopatikana Meya kwa njia halali. Vinginevyo, hapatakuwa na amani kamwe.
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  kama wakuu wa Cdm wameona hivyo ni poa . Strategy ndio cha muhimu zaidi
   
 7. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sina taarifa zaidi ya hizo zilizotoka radio one. kama kuna mtu ana data zaidi atupe data.
   
 8. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Arusha inaweza ikawa si sehemu salama kama serikali itaachia haya mambo yaende kihuni huni
   
 9. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  afadhali kajisomea mwenyewe alama za nyakati
   
Loading...