Meya Jiji la Arusha na viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro wamekamatwa na Polisi

kama tulivyosema kuwa na raisi wa namna ya Makufuli miaka hii mitano itakuwa ya kusikia na kuona mambo mengi ya ajabu
 
Kutumia nguvu kuibeba sisihem hamtaweza, cc tulishaichoka sisihem haibebeki…. Nyie tendeni tu haki kuwakamata viogozi wetu ndo mnatuongezea ujasiri.
 
Chadema wangekuwa siyo wapiga domo bila vitendo hayo maandamano yangeanzia hapo sasa hivi!
Chadema hawakurupuki km wale wa mwendo kasi, chadema wanaenda kwa mipango madhubuti, na kwa umakini mkubwa, ndo maana polic washaanza kuandamana hata kabla ya ukuta wenyewe, maadamano ni sept 1 sio leo
 
mkuu, pamoja na wengine mliotumia lugha hii, hata kama hatukubaliani kile kinachoendelea ila kutumia lugha hii ni ishara tosha kuwa sasa majadiliano yanakosa maana

jf members pamoja na mods, sina uhakika hii lugha tunaitumia hum, ni vyema ukafuta bandiko lako au ww na wenzio mtakutana na burn milele kabisa..
Kwani umoja huo, ni kwamba haupo au? Sioni tatizo, ilimradi tafsiri na kirefu chake kimeelezewa.
 
Huyu ndo yule anayeingoza jiji kisasa? nasikia Jamaa yuko very organised ktk kuongoza jiji la Arusha.
 
. Meya wa Arusha anafanya mkutano Sanya Juu, walipata kibali hata cha balozi? Kama mnadhani wanafurahia hivyo vikao vyenu, hao polisi wamejuaje mpo kwenye kikao haramu?
 
Wote tutawakamata na tutawashikisha adabu tarehe 1 sept na wala msiahirishe hayo maandamano ili tuwaonyeshe kazi washenzi nyie
 
Back
Top Bottom