Meya Jiji la Arusha na viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro wamekamatwa na Polisi

Aug 20, 2014
56
102
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro Bukhay, Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro Basil Lema, Katibu wa chama Wilaya ya Siha, Diwani wa Nasai Solomon Mmary, Diwani Viti Maalum Witness Riwa na Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya Siha wamekamatwa na Polisi muda huu wakiwa katika kikao cha ndani Sanya Juu.

Huu no uonevu mkubwa lazima tuupinge kwa nguvu zote.

Hawa Polisi wapo busy na CHADEMA huku wanawaacha majambazi wakitamba hadi wamefikia kuwaua Polisi wenzao kama kuku.

Polisi acheni kufanya siasa za kuibeba CCM hamtaweza

UKUTA
 
hUJASEMA SABABU UNAANZA TU KUSEMA UONEVU. LABDA TU CHA KUZINGATIA HAMNA ALIYE JUU YA SEHRIA!
 
Mbona husemi wamefanya nin zaid ya kulalamika..polic hawawezi kukamata wapuuzi hao bila kosa
 
Ndio natoka shamba muda huu! Habari njema ninayosubiri ni mbolea ya bei nafuu, mbegu bora zinazotoa mavuno mengi na kuwahi kukomaa! Hivi vikao vya ndani vya CDM vinanisaidia nini wakati uchaguzi wenyewe bado. Tuache tufanye kazi jamani, 2020 inakuja subirini tu.
Sasa kama unataka kusikia habari za mbegu bora na mbolea unafuata nini huku jf tens jukwaa LA siasa........ Acha kutuzingua mkuu.
 
Huu no uonevu...

Polisi acheni kufanya siasa za kuibeba CCM hamtaweza
Hawataweza mara ngapi wakati kila siku wanakamata watu na hakuna chochote kinachowazuia? Kungekuwa na jinsi ya kwadhibiti usingelalamika kwamba huku ni kuonewa.
 
Wamekamatwa kwa kosa gani? Mbona mnakimbilia kulisha watu taarifa ambazo hazijakamilika? Ebwoo!!
 
Back
Top Bottom