sioni
Senior Member
- Jan 13, 2012
- 123
- 68
Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea ilikuwa ndio shubiri yetu ili tuende kwenye neema. Lazima uanze pagumu ndipo uende pazuri. Nikuulize, yale yote yaliyofanywa kipindi kile unayafahamu? Azimio la Zanzibar...looh!!! Wewe waona tumepiga hatua kwenda mbele au kwenda nyuma ya pale tulipokuwepo? Bila shaka utasema tumeelekea mbele