Meya Bora kupokewa leo Mchana akitokea Musoma

Meya Bora kupokewa leo Mchana akitokea Musoma

yegella

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,113
Reaction score
1,105
Leo saa 9:00 mchana wakazi wa jiji la Arusha Mjini watampokea Mhe. Kalist Lazaro akitokea Musoma alikotunukiwa tuzo ya meya Bora kutoka jiji la Arusha Mjini, Mapokezi yatafanyika karibu na ofisi ya Tanapa makao makuu wananchi mnakaribishwa ..Hongera jiji la Arusha, Hongera Chadema, hongera Kalist Lazaro
 
Hongera zake Meya kwa kukubali Uteuzi huu kutoka kwa Uongozi imara na madhubuti wa Rais Magufuli usio na ubaguzi
Kwendrqaaa, umeskia uteuzi ule, pale unapambana mwenyewe na watu wanakuweka madarakani Hongera sana kamanda Bushy
 
Vigezo vya meya Bora ni vipi... ?? Nataka kutoa pongezi
 
Back
Top Bottom