Meya azuiwa tena kuingia kwenye kikao

Acheni kung'ang'ania madaraka, meya hela anabeba kwenye briefcase au!! Sababu zenu hazina mashiko
Ajiuzuru kulinda heshima yake vinginevyo ni msaka tonge tu na hana means nyingine ya kuishi, atazoea tu sio lazima awe meya jamani.
Hatoondoka kifala
 
Rais kuendelea kumuacha huyu mkurugenzi Ni aibu kubwa sana.hivi kwa nini wanatumia nguvu hivi?
 
Acheni kung'ang'ania madaraka, meya hela anabeba kwenye briefcase au!! Sababu zenu hazina mashiko
Ajiuzuru kulinda heshima yake vinginevyo ni msaka tonge tu na hana means nyingine ya kuishi, atazoea tu sio lazima awe meya jamani.
Watu wanataka kukwiba mabilioni kuelekea uchaguzi Mkuu, meya Ni kikwazo kwa dili hilo
 
Unashangaa ya Liana unaacha kushangaa ya Jiwe na sinema ya kina Kangi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
A nation day of shame
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmepanga kimteka au? Tangu muanze kuteka,kuua na kubambikia kesi,tena siku hizi mmetunga sheria ya Money Laundering, je mme-achieve your goal?

Nini mlichofanikiwa?CCM yenu imepanda chat?

Mnawaza kuua tu au kuweka watu jela muda wote!!!!khaaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliza akili bro,atekwe kwa kipi alichonacho Cha kutisha wakati Baraza la madiwani tu lishamuweza!!nitajie watu waliobambikiwa kesi na uthibitisho,sheria za ML zilitungwa na bunge ikiwemo mjuaji wenu TL na wapinzani wengine,ndio CCM ya Sasa imepanda chart sana.👍👍
 
Hawa cdm wako teyari hata kuanzisha vita kwa ajili ya umeya jamani!!!
Sio upande wa pili ndio wako tayari kuanzisha vita kwaajili ya umeya? Kwanini wasimwachie amalize miezi iliyobaki?
 
Sio upande wa pili ndio wako tayari kuanzisha vita kwaajili ya umeya? Kwanini wasimwachie amalize miezi iliyobaki?
MA CCM YAMEAPA KUMMALIZA MAANA ALIKATAA OFFER YA KUNUNULIWA WENYEWE WANAITA KUUNGA JUHUDI ZA MAGUFURI. SASA HIYO KITU IMEWAUMA MNOONDIO CHANZO CHA MATATIZO YANAYO MKABILI HMEYA ISAYA MWITA. YAANI MA CCM YAPO TAYARI KUMUUWA KISA AMEKATAA KUNUNULIWA NI AIBU SANA. HAKUNA AWAMU MBOVU KAMA HII YA 5
 
Hawa cdm wako teyari hata kuanzisha vita kwa ajili ya umeya jamani!!!

Ujue wewe ni chizi!
Hivi kati ya CHADEMA na CCM .nani anaanzisha vita?
Meya amenda kama Diwani kuhudhuria kikao halali LAKINI KWASABABU YA upuuzi tu wa CCM ya Magufuli wanamuzuia Meya Mwita.....! Halafu kesho kichaa mmoja anasimama na kusema ati: MAENDELEO HAYANA CHAMA………!! Non sense.
 
MAGUFURI anapenda kuhadaa wananchi. Et maendeleo hayana chama. Then anasema ukitaka maendeleo hamia ccm it doesn't make any sense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…