Mexico's War on Drugs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mexico's War on Drugs

Discussion in 'International Forum' started by jmushi1, Mar 27, 2009.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,923
  Trophy Points: 280
  Hii vita ya wamexico dhidi ya drug cartels inazidi ku escalate kutokana na facts kwamba ni biashara inayowaingizia wamexico pesa nyingi kuliko hata utalii ambao ndio uti wa mgongo wa uchumi wao,wao wanadai tatizo ni US kwani soko liko huko na pia silaha cartels wanazonunua kutoka US ni kali kuliko walizonazo askari wa Mexico...Hata hivyo mambo ni mabaya zaidi kutokana na drug cartels kutumia insurgent tactics kama za fedayeen ama Taliban na Alkaeda, na pesa nyingi kupita kiasi...Kiongozi anaweza akaahidiwa $ 500,000 kwa mwezi ili anyamaze na asipofanya hivyo familia yake yote inauwawa na yeye pia...Hali si nzuri kwani vurugu na mauwaji hayo vinaelekea kuspill mpakani mwa Mexico na Marekani na leo US Marshall mmoja ameuwawa upande wa Mexico...Clinton nadhani bado yuko uko na madai yao ni kwamna Mexico ndio Taiafa tishio zaidi kwa Marekani kwa wakati huu...WameMexico wanasema tatizo ni soko liliko Marekani pamoja na upatikanaji rahisi wa silaha za kivita kama AK 47 pamoja na porous boarder plus corrupt leaders ambao ndiyo washiriki wakuu wa biashara hizo,kila mwaka wana smuggle more than $ 40 billion worth of drugs,hivyo kimbembe ni kuisimamisha biashara hiyo...Kaazi kweli kweli.

  [​IMG]

  Shughuli si ndogo....
  [​IMG]

  Mpaka hand grenades na ma bullet proof ya kufa mtu...
  [​IMG]
   
Loading...