Mexico City see you soon!!

Mexico City see you soon!!

Tuombeane wakuu...naenda Mexico kikazi
Mungu akijaalia tarehe 27 naarejea Dar es Salaam!!
M'baki salama!!!
Huko ni mbali sn. Kwa muda huo hutafanya kitu cha maana utaambulia jet lag tu za kwenda na kurudi.
 
unarudi tena wapi????Tanzania??unarudi kufanya nini???
dah wadau mbona hizi bahati sizipati mimi?..kama ningekuwa mimi ningefanya harakati za kufa na kupona niingie mamtoni...
 
Mkuu ukipita pande za Pachuca kuna jamaa yangu pande zile..nitakupa contact kama ukihitaji..
 
Back
Top Bottom