usijari mtoto mzuri nitawasalimu.nikuletee zawadi gani?Wasalimu saana LA Condesa na Polanco..
Bon Voyage.
Unarudi lini kwanza?nisije sema zawadi kumbe unarudi msimu ujao wa WC..usijari mtoto mzuri nitawasalimu.nikuletee zawadi gani?
Attach passport yako sehemu ya picha Na ukurasa wa visa.Tuombeane wakuu...naenda Mexico kikazi
Mungu akijaalia tarehe 27 naarejea Dar es Salaam!!
M'baki salama!!!
soon senorita. sombrero itakupendeza sana hasa ukiwa ufukweniUnarudi lini kwanza?nisije sema zawadi kumbe unarudi msimu ujao wa WC..
mwakabujibuji tatizo ni nini hasa.Attach passport yako sehemu ya picha Na ukurasa wa visa.
Tumechoshwa na maisha yenu feki
Hahahaha...sombrero,. Lol[emoji23]soon senorita. sombrero itakupendeza sana hasa ukiwa ufukweni
Kwani akithibitisha safari yake atakufa?mwakabujibuji tatizo ni nini hasa.
Halafuu ukiwa Mexico JF haioatikani? Au anaaga nini? Na sie mbayuwayu jeKwani akithibitisha safari yake atakufa?
ukiwa ndani ya bikini,hahaa na grass yenye kamwamvuli na kipande cha limao.maisha haypo tz tuuHahahaha...sombrero,. Lol[emoji23]
privacy muhimuKwani akithibitisha safari yake atakufa?
asingekuja ku publicize hapa JF. Kwani yeye ni wa Kwanza kwenda nchi za wauza ngada?privacy muhimu
Wacha wee,huku nimechomeka kiua flan hivi amazing juu ya sikio langu mwenyewe pembeni ya nywele na sunglasses nzuuurii naangalia tuu mema ya nchi...Hahaha jomonii[emoji28]ukiwa ndani ya bikini,hahaa na grass yenye kamwamvuli na kipande cha limao.maisha haypo tz tuu