Methali na vitendawili hivi.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Methali na vitendawili hivi..

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by pilau, Oct 26, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  1. Simba mwenda pole ....... huyo ni Sharobaro
  2. Asiyefunzwa na mamaye ...... ujue mamaye hajapitia ualimu
  3. Zimwi likujualo .................. Lilikuona sehemu
  4. Chelewa chelewa ........... ukizikusanya utapata fyagio
  5. Hakuna masikoka ... isyo na matope
  6. Mpanda ngai ............... ataota vigimbi
  7. Pruuuu mpaka Macca ....... kaenda kuhiji huyo
  8. Hakuna marefu ........... yasiyokuwa na mapana
  9. Kuku mgeni ............. hufungiwa mpaka azoee
  10. Haba na haba ........... haba mbili hizoooo

  .............. kwa leo inatos...........
  :bange:
   
 2. E

  Emaglo Senior Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimeipenda
   
 3. A

  Alisa Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mbavu zangu!
   
 4. M

  Mdefede one New Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah sema kiaz mi muhogo na mizizi.
   
 5. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nakupa like ya kianalogue !!!
   
Loading...