Methali na mahusiano yako

To yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
19,253
Reaction score
34,641
Kuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo"

"Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao kwa msala upitao".

Mi kuna mchongo nausikilizia,tusikie kwenu Nyie mlio dimbani mahusiano yenu yapo kwenye methali gani?
 
Akinipenda mama inatosha..

Wazee mi uwa nakosa usingizi nikiwa na ishu tatu (3) tu: Kesho yake nikiwa na safari, Kesho yake kuna mchongo wa hela au Najua kabisa sahivi penzi jipya la demu wangu ndio linakolea moto.

Sitajinyonga ila aisee.. Naombea waachane hawa mbwa.
 
🤣🤣🤣 Akikupenda mama inatosha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…