Methali mpya

Nyerere ni baba wa Taifa,je mama wa taifa...........
 
1. Kulia na kucheka zote ni kelele
2. Aliyeaga na aliyetoroka wote hawapo
 
Si kila kilichokitamu kina sukari.Kuna vingine ni vitamu na havina sukari.
 
1. Mke wa mwenzio ni wako.

2. kitu kizuri ule na mwenzako
 
Zipo funguo kadhaa za mafanikio,lakini funguo moja ya kushindwa ni kujaribu kumfurahisha kila mtu.
 
1:Tanzania Bila ukimwi inawezakana

2: Tanzania bila ufisadi haiwezakani
 
Ukitaka kuwa Kiongozi ccm, lazima uwe fisadi
 
Si kila anayelia amedhurika...wengine hulia kwa kufurahia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…