Metal detector(gold detector)

seckymose

Member
Dec 29, 2016
87
47
Habari zenu wakuu,

kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua shirika au kampuni binafsi hapa Tanzania ambapo naweza kupata METAL DETECTOR / GOLD METAL DETECTOR ya kukodi ili nitumie kwenye shughuli zangu za utafutaji na uchimabaji wa madini.

Wakuu naombeni mwenye kujua anijuze ili niweze kusonga mbele kwenye michakato yangu.

shukrani wakuu.
 
Mkuu Mimi ninayo, niliinunua China ila sikupata muda was kuifanyia kazi, nimeiweka tu nyumbani dar.

Niliinunukia China kama m1.2 kama uko series naweza kuikuuzia maana siitumii na sitarajii tena kutafuta metal kutokana na masuala ya Kimakanikia
 
Ina detect metal iliyoko chini ya ardhi kwa umbali usiozidi meta moja na nusu Ila shida ya hizi metal detector no kwamba hats chuma inadetect, nafikiri unazielewa, matumizi take na changamoto zake!
 
Metal Detector yako aina gani/Brand?
Ni zile Pinpoint Detector ama?
Specifications zake zikoje?
Ina Coil ama Plate?
Unaweza kuweka picha hapa?
 
Nina Gpx 5000 minerab nadhani ndiyo inayoongoza kwa sasa sokoni kwenye kundi la metal detector naiuza dola 6000 peleka kwenye pesa ya madafu itakuwa 12 milion hivi ina betri mbili
 
Kwa nini unaiuza Mkuu?
 
Kwa nini unaiuza Mkuu?
Kiongozi shuhguli hiyo inahitaji sana muda bahati mbaya ndoa ya serikalini imenikaba nashindwa kupata muda wa kuisimamia mwenyewe imeendelea kukaa ndani tu, watu wameshaiazima mara mbili wanaisifia tu lakini hawaleti mapato, nikaambiwa kuwa bila usimamizi thabiti nitaisikia pesa redioni!!
 
Nina Gpx 5000 minerab nadhani ndiyo inayoongoza kwa sasa sokoni kwenye kundi la metal detector naiuza dola 6000 peleka kwenye pesa ya madafu itakuwa 12 milion hivi ina betri mbili
peleka congo itakulipa sana. ndani ya mwezi 2 hautakosa 4000$. nabado itaendelea inapiga kazi.

nukta
 
Kiongozi shuhguli hiyo inahitaji sana muda bahati mbaya ndoa ya serikalini imenikaba nashindwa kupata muda wa kuisimamia mwenyewe imeendelea kukaa ndani tu, watu wameshaiazima mara mbili wanaisifia tu lakini hawaleti mapato, nikaambiwa kuwa bila usimamizi thabiti nitaisikia pesa redioni!!
Mkuu una ID ngapi?
 
Habari zenu wakuu,

kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua shirika au kampuni binafsi hapa Tanzania ambapo naweza kupata METAL DETECTOR / GOLD METAL DETECTOR ya kukodi ili nitumie kwenye shughuli zangu za utafutaji na uchimabaji wa madini.

Wakuu naombeni mwenye kujua anijuze ili niweze kusonga mbele kwenye michakato yangu.

shukrani wakuu.
Chuo Cha Madini Dodoma, wana hiko kifaa na Wataalamu pia, wasiliana nao
 
Mkuu Mimi ninayo, niliinunua China ila sikupata muda was kuifanyia kazi, nimeiweka tu nyumbani dar.

Niliinunukia China kama m1.2 kama uko series naweza kuikuuzia maana siitumii na sitarajii tena kutafuta metal kutokana na masuala ya Kimakanikia
Saiv bado unayo au idhauzwa?
 
Back
Top Bottom