CR7 doesn't use HGH but LM still uses HGH(Human Growth Hormone)
Katika baadhi ya nchi kutumia HGH ni kosa kama kutumia steroids nyinginezo. Lakini imekuwa vizuri kwa LM kutibiwa alivyokuwa mdogo hivyo sasa hivi anaweza kutoa burudani kwa wapenda soka. Kuweza kuonesha kipaji uwanjani physicality ya mchezaji ni jambo muhimu sana. LM ana balance kubwa sana ya mwili wake na suppleness pia. Kwa hiyo kama asingepata tiba asingeweza kuonesha uwezo wake uwanjani. Kuna wachezaji wengi wazuri hata hapa kwetu Tanzania ambao wameshindwa kucheza na kuonesha uwezo wao kwa sababu walikosa tiba walipokuwa wadogo na miongon mwa tiba hizo ni HGH.kwa hiyo madawa ndiyo yamemfundisha messi kupiga chenga,kutoa mapande na kufunga mabao kama hana akili nzuri?
Katika baadhi ya nchi kutumia HGH ni kosa kama kutumia steroids nyinginezo. Lakini imekuwa vizuri kwa LM kutibiwa alivyokuwa mdogo hivyo sasa hivi anaweza kutoa burudani kwa wapenda soka. Kuweza kuonesha kipaji uwanjani physicality ya mchezaji ni jambo muhimu sana. LM ana balance kubwa sana ya mwili wake na suppleness pia. Kwa hiyo kama asingepata tiba asingeweza kuonesha uwezo wake uwanjani. Kuna wachezaji wengi wazuri hata hapa kwetu Tanzania ambao wameshindwa kucheza na kuonesha uwezo wao kwa sababu walikosa tiba walipokuwa wadogo na miongon mwa tiba hizo ni HGH.
Hizo hapo juu ni hadithi tu, Messi anafunga sasa ktk kila mechi ambayo Argentina imecheza hivi karibuni, kule hakuna Xavi wala Iniesta, na pia anasaidia kupatikana magoli ya Argentina.Wote ni wachezaji wazuri sana kwenye klabu zao hasa kwa ufungaji,kila siku wanavunja rekodi za ufungaji,lakini wote hawafanyi vizuri kwenye timu zao za Taifa.Messi ana advantage ya kucheza kwenye kikosi bora kabisa kilichowahi kutokea ambacho kimebebwa na backbone ya Wahispania(Busquet,Xavi,Iniesta).Miaka 2 iliyopita Messi alikuwa amemwacha Ronaldo kwa mbali sana lakini kwa sasa gap inazidi kupungua.Messi ni zaidi ya Ronaldo but tofauti ni ndogo sana
Hizo hapo juu ni hadithi tu, Messi anafunga sasa ktk kila mechi ambayo Argentina imecheza hivi karibuni, kule hakuna Xavi wala Iniesta, na pia anasaidia kupatikana magoli ya Argentina.
Pale Barca takwimu zipo wazi tu; ni Lionel Messi ambaye amesaidia upatikanaji magoli mengi na anaongoza kwa kufunga magoli mpaka sasa. Dani alves ndiye mchezaji aliyetoa assists nyingi kwa Messi kuliko Xavi na iniesta msimu uliopita, na mpaka raundi ya 6 ya ligi na mechi 2 za UCL Christian Tello katoa assists nyingi kwa Messi kuliko xavi na Iniesta. So hayo mambo ya zamani yafike mwisho hata kama hutaki kumkubali mwanasoka bora wa dunia kwa sasa(Lionel Andres Messi)
Nakubaliana na wewe kuhusu backbone ya Barca kwa hao midfielders watatu, hii ni kwa timu nyingi tu za soka zinakuwa na wachezaji wa namna hiyo, lakini kikubwa ni team work, individual skill pia ni added advantage kwa mchezaji.Kaka,sijazungumzia nani anampa assist Messi,i know Dani Alves ni mmoja wa watu waliotoa assist nyingi kwa Messi.Nazungumzia hii backbone(Busquet,Iniesta na Xavi) ndio imeisadia sana dominance ya Barca kwa kutawala kiungo na possesion kwa ujumla.Then unamzungumzia Tello ambae sidhani hata kacheza mechi 40 kulinganisha na kina XAVI na INIESTA.Kuhusu Argentina mwenyewe umekiri kwamba ameanza kufanya vizuri kwa sasa tena hizi game za qualification za WC but alifanya nini kwenye WC 2006,WC 2010 au Copa America?.Then nakushangaa unaposema simkubali while kwenye maoni yake nimekubali kuwa Messi ni zaidi ya Ronaldo.
Wana jf naomba mnisaidie kujua na ronaldo mesi wana magoli mangapi msimu huu kwenye ligi zote walizoshiriki?
Wana jf naomba mnisaidie kujua na ronaldo mesi wana magoli mangapi msimu huu kwenye ligi zote walizoshiriki?
Mpaka sasa Messi ana magoli 52 jumla ya mechi zote official alizocheza tangu tuanze msimu huu. Ameassist magoli 11, winning goals 4 hizi za la liga tu.
cr7 anamagoli 40, assist 5, no winning goals.
Nani mkali sasa hadi hapa. Source goal.com
Hapo umenenna hata ya kujifunga Ronaldo hana mpinzaniRonaldo scores everywhere.... Even against his keeper