Messi Kufungwa Jela?Mungu atatushangaa Sana Wanadamu

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,552
Unaanzaje kumfunga Genius wa soka wa dunia ya leo?Yule ni Kiumbe toka sayari ingine usakataji wake kabumbu hauna mfano Messi ni burudani tosha aisee...sijui kama atabanwa kiasi gani na adhabu hiyo lkn Mwenyezi mungu atatushangaa sana wanadamu kumfunga jelaNyota huyu hapa duniani!
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Kwani amefungwa kwa kosa gani?
 
Kwa hiyo hata akiua mtu ataachwa tu kisa genius wa soka?

Huyo mungu wako anayeshangaa watu wanaoadhibiwa na mamlaka halali kwa makosa yao kisa wana vipaji atakuwa mwehu.

Kijana,your god must be crazy.
 
Huyo mungu ajishangae yeye kwa kuumba viumbe wa namna hii
 
Back
Top Bottom