Messi anaenda Chelsea

Messi anaenda Chelsea

Ni kweli mkuu, tatizo watu wanatanguliza ushabiki wakati wa kuchangia na kusahau kwamba timu wanazozishabikia EPL kwa sasa zinabebwa na wachezaji waliotoka la liga na baadhi ya wachezaji hao walionekana magarasa huko la liga kwa mfano Fabrigas, Sanchez, Di maria. Na hawa ndo mashujaa wa sasa Epl. Angali top scorers wote wa Epl wa sasa ni kutoka laliga. Acheni wivu nyie njooni la liga mufurahie soka safi.

Watu wanaosema la liga hakuna soka wamezoea kuangalia mechi za Manchester United na Swansea au Chelsea inacheza na QPR tu, wamesahau la liga kumesheheni vipaji na timu zake ndio zinazosumbua kwa sasa kwenye champion league na Europa league.
 
Watu wanaosema la liga hakuna soka wamezoea kuangalia mechi za Manchester United na Swansea au Chelsea inacheza na QPR tu, wamesahau la liga kumesheheni vipaji na timu zake ndio zinazosumbua kwa sasa kwenye champiob league na Europa league.

Kabisaaaaa mkuuu umeongea point... La liga ni best league..... Ina wachezaji wazuri pamoja na ujeruman


BARCLAYS PROMO NYINGI
 
abramovich atasanda tu.. bei ghali sana hii 230m


Hapo ndipo namuonaga morinho jinga, linashindwa kupanga kikosi linakimbilia kufuja pesa.
Morihno hana ubunifu kabisa..aagrrr
 
Kabisaaaaa mkuuu umeongea point... La liga ni best league..... Ina wachezaji wazuri pamoja na ujeruman


BARCLAYS PROMO NYINGI

Wadau wa soka wameweka pesa nyingi kwenye EPL na media zote duniani zinatangaza ile ligi, kuna watu wengine hata Bongo hawana access ya kuangalia la liga au Bundesliga kabisa. Sasa hiyo siyo sababu ya kusema hakuna ligi ngumu kusema kama ya Barclays, waangalie na ligi kama za Italy waone kunavyochimbika.
 
Messi ligi ngumu kama ya barclays hawezi kucheza, kule Hispania timu zinacheza mpira wa ushindani ni chache sana tofauti na uingereza

Muwe mnaacha kukariri, EPL ina ugumu gani? Kama EPL ni ngumu kuliko La Liga kama mnavyodai kwa nini timu za EPL huwa zinatolewa na timu za Spain karibu kila mwaka kwenye mashindano ya Ulaya? Mara ngapi Messi kacheza na timu za EPL na amewakimbiza mbaya? Ni wachezaji wangapi wametoka Spain na wamewika EPL? Aguero, Silva, Negredo, Diego Costa, Sanchez nk.

Ukiniambia Messi hawezi ku-fit kwenye pattern ya mpira wa Chelsea nitakubaliana na wewe lakini sio eti hawezi kucheza EPL.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom