julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
"Naondoka nakupigia cm yangu, utaki kupokea"
"poa ukijisikia kunijibu utajibu"
"kwa hiyo kunijibu kwako ni shida"
"jana ulikuwa unaongea na nani wakati napiga simu"
"poa maisha mema"
"ok poa fanya mabo yako"
"unaongea na nani usku wote huu?"
"kwa hiyo ndio umenuna"
"basi nisamee kama nimekuudhi!"
Jamani hivi kweli watu hawajui kutopokea simu kuna sababu nyingi nje na usaliti wa penzi! simu imenunuliwa kwa ajiri ya kuwasiliana na mke/mme tu? aseeeee nakosa majibu labda nyinyi nisaidieni majibu hapa!!!!!!!!