manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Mama huyo anasema alitamani message hiyo iwe kama mpira ili aione airukie na kuishika isiende maana ile ame-press send button ndo akagundua alikuwa anamtumia mume wake na si hawara yake kama alivyokusudia...
Msg ilikuwa inasema hvi: (majina si ya kweli haya) ''David nakupenda mno hata kushinda baba Jonii hadi imefikia wakati tunashiri tendo la ndoa na baba Jonii bila kuvuta hisia zako huwa sifikii juu ya mlima naomba ufanye hima utafute nafasi ingine weekend hii ili ukanifanyie kama siku ile, Nakupenda mno''...
Ni mtafaruko mkubwa unaoendelea sasa hivi katika familia moja hapa jirani kisa kikiwa ni kama nilivyoonyesha hapo juu...Tuwe makini sana wakati wakutuma msg zetu za aina yeyote usije ukatamani kurukia msg ili uirudishe ili hali msg hata haionekani inavyosafiri..Kama ilishawai kukutokea kutuma msg mbaya kwa mtu usiye kuwa unataka aione hiyo msg toa ushuhuda wako hapa...