Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
Kwetu rahaaNi hivii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwetu rahaaNi hivii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Penda weweMshipa hana madhara wewe, tulia nile vitamu![]()
HahahaWabebez wako jamani
Eeeeenh shem tako mbili tena jamaniVijana wa takko mbilichali hawanipi shida ujuwe shem
Mshipa alikuwa atania tuu aki!.Hahaha dada angu Mungu anakuona jamani mshipa lawama ananitupia mie
Woyooooooooooooo na kukulana juuAhsante sana.
Tunajuana
AiseeeHapana mm niko namjua vizuri sana niko na mashemeji hata kwenye coaster hawatoshi
Ngoja aishiwe pesa ndipo utuletee habari hii ya upendo wa dhati kwa sasa ana pesa yote utasema hongera kwa penzi la dhati








AiseeeePenda wewe
Sawa sawaMshipa alikuwa atania tuu aki!.
Halafu siie ni wa utani kama vilee
Wacha nami niendelee kusubiri pengine naniliu nae atatiririka






















acha nicheke mieKukulana asante!nimeipenda hiyo shem usiku mwemaWoyooooooooooooo na kukulana juu
Kidogo,me napenda sana hiyo kidogo inakuwa haina mkazo na maana kabisa
Akiwa na chura itakusidiaje wewe?Tatizo ni moja tuuu!....huna chura!!![]()
Shem usiniambie we na Inna ni bongo movieKukulana asante!shem usiku mwema
Umeanza sasaacha nicheke mie
haters watasema, kwani PM yake huijui umeleta uku kwani sisi yanatuhusu nini.
