Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ufunge kabisaBasi nafunga mdomo
Usikufwe jamaniiKweli nitakufwa mm jamani
Relax kipenzi changushouger sijiwezi hapa
Ni wewe kabisa ila ulitisha sana maama sio kwa kuringa hukoHahhaha ba mkwe bwana huyo picha mtu amekaa kwa kochi amejipiga selfie atakuwa kaweka mwingine
Siri yetu babe wangu![]()
![]()
hiyo siri ya mwifwa
Basi usinishindwe jamaniUsikufwe jamanii
Hahaha. ..shikamoo yake ina mambo mengi mnooooo
Ba mkwe nakataa sio mie mm huwa siringi sijui sababu ni muhengaNi wewe kabisa ila ulitisha sana maama sio kwa kuringa huko
Usijali kivuruge wangu mwenyewe!! Ndo tushakutana hakuna namna ingineBasi usinishindwe jamani
Sasa shem anataka mambo za kukulana jamani hataki bongo movie kabisa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sio kwa msisitizo huo
Aisee"Nataka nikuumize kama mke wangu mpuuzi, alie toroka na rafiki yangu siku moja baada ya harusi" Dizasta vinà
Usijali kivuruge wangu mwenyewe!! Ndo tushakutana hakuna namna ingine







nimecheka sanaaaaaaUhenga bado bado kidogoBa mkwe nakataa sio mie mm huwa siringi sijui sababu ni muhenga