Tukija kwenye picha yako sasa, hapo inaonesha ni jinsi gani nyumba kubwa inashindwa kumCARE mwanaume mpaka mwaname anapata or kuelekeza nguvu zake kwa nyumba ndogo kwakuwa akifika kwa nyumba ndogo anapata mapokeo mazuri yanayoambatana na maneno mazuri ilihali kwenye nyumba kubwa hapati vitu hivyo.