Message on my phone

Message on my phone

"I would rather eat a dried crust of bread than living in the house full of tribulation".
I fail to understand and bad enough the sender is known to me .Then nimuulize au ninyamaze maana nimeshika simu nikiwa na bumbuwazi ,
Hapa kazi tu "thinking loud"
 
who sent you. wife/ fiancee? mchepuko kwa kiingereza thijui thetehetehe....or? did you live ith the person under one roof? etc answer plz
 
Mkuu ungekata tu mzizi wa fitina mjibu tu "me too""
 
Kiingereza nakielewa vema na tatizo sio kujua maana ya huo ujumbe ,tatizo ni kushituka je ni hakika ujumbe kautuma kwangu au la !

Kwani nani ndio kakutumia.......?........tuanzie hapo kwanza...........
 
"I would rather eat a dried crust of bread than living in the house full of tribulation".
I fail to understand and bad enough the sender is known to me .Then nimuulize au ninyamaze maana nimeshika simu nikiwa na bumbuwazi ,

hiyo ni quotation ya kwenye bible... MITHALI 17:1... so yawezekana alikuwa anapiga gombo kidogo.
 
Kiingereza nakielewa vema na tatizo sio kujua maana ya huo ujumbe ,tatizo ni kushituka je ni hakika ujumbe kautuma kwangu au la !
Sasa mkuu hiyo sms ilitakiwa iwe ya nani zaidi ya wewe iliyokufikia? ama kuna mtu mnapokezana namba ya simu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom