Message from Gadaffi to Africans

I WONDER IF IN "POST RACISM" ERA SOME ONE CAN STILL STAND UP TO TALK OF SEGREGATION..HIYO NYEKUNDU MKUU HAIJAKA NJEMA UBAGUZI SIYO ISSUE TODAY! WAWAACHE WALIBYA WAMWONDOE GADDAFI WENYEWE!:frusty::frusty: NIKIKUTANA NA OBAMA NAMPA HIVO VICHWA!

Maji yashazidi unga..lol

Kuwapa watu nyumba, hospitali na mashule n.k. is never a substitute kwa kujikusanyia nguvu za kidola na kuzifanya kama ni mamlaka ya kifamilia na wapambe wateule wachache. Ingelikuwa ni kweli kwamba nchi inaongozwa na kamati za watu ni wazi hao watu waliokuwa 'enchanted' na 'crusaders' wangekuwa overpowered na watu wanaowakilishwa na hizo kamati za uongozi. Hapanshaka. All in all, Gaddafi na US all are tyrannic regimes hakuna jipya hapa na sioni sisi watz na AU kwa ujumla ijihusishe na matatizo ya mfalume juha badala ya real ishu za ngozi nyeusi.
 
You don't know much about Libya my brother. He overstayed but his people are enjoying. Every basic need is free. Where will you get that in this world today? They spoiled Benghazi people, without knowing hey will never be the same without Ghadafi. Trust me after Ghadafi leave or Die, life will change completely in Libya. And those people who are advocating for his departure at any cost they will pay the price. Nothing is for free in this world. You help me to throw him out, will pay you oil for twety five years.
Asante Mungu kuwa sasa na Gaddafi anapata Adhabu, jamani nyinyi wenye ngozi nyuesi kama mimi, Gaddafi alituuza miaka mingi kwa majirani zake wazungu, la mwisho baada ya kukataliwa aunde umoja wa kiafrika ili apate kutamba kama kiongozi na ujinga wake kisha awaachie wanawe kina Saif al Islam ambaye amelipa Paundi 1,800,000 zaidi ya Tsh Bilioni 4 kumnunulia PhD kitika London School of Economics, ili aonekane msomi, Alimwachisha kazi Profesa wa chuo hicho na kumlipa Dola 50,000 milioni 75 kwa mwezi aje Libya kumfundisha mwanae Muttassim Gheddafi kiingereza.
Aliposhindwa kuinunua Africa na alikuwa ameshawahakikishia wazungu kuwa bara lote ni lake na yeye ni Mfalme wa Wafalme wa Bara la Africa, huku akikusanya waganga wa kienyeje na machifu wa kikabila akawapeleka kwao Libya, na kuita media ya Dunia waone alivyotawazwa na kutukuzwa.
Sote tuna mafuta lakini kwa kuwa hatujaenda kumlamba miguu gaddafi basi wazungu hawaji kuchimba kwa sababu kwa wazungu hilo ni eneo la Gaddafi, mfano Uganda ni nyikani, na Sudan, lakini iliwashauri rafiki zake Viongozi wa Ulaya waende Uganda na sio kwetu, yeye ndio mlango. kwa kiwango kikubwa umaskini wetu umechangiwa na CHUJIO LA GADDAFI ili apate kutukuzwa na utuletee njugu na misikiti ka alivyoiahidi BAKWATA jengo la dini la ghorofa 20, la nini? kum..... shenz...... NATO MUNGU AWABARIKI!!!!
 
Watu wana maradhi mabaya sana ya udini...! Chuki walizo zificha nafsini mwao ni kubwa sana kuliko hizi wanazo zionesha humu.

Yanayo mkuta Col. Gadafi leo yanaweza kumkuta kiongozi yoyote yule wa Kiafrika. Ni pale tu nchi za kimagharibi zitakapoona kuwa hiyo nchi inajitegemea +90% kiuchumi na wao hawana maslahi katika uchumi wa nchi hiyo.
 
Hii thread imejaa blah blah nyingi zinazosukumwa kiushabiki na story za vijiweni...! Tunapotoshana tu.
 
Nadhani tatizo vijana wetu wengi hawajaielewa Historia na sina uhakika silabasi zimekaaje, ila wanaonekana kudandia mambo kiushabiki maana wanachosoma sasa hivi kiko ki- "magharibi"yaani ni watumwa mambo leo... , ninawashangaa hata wazazi wanouendekeza umagharibi na kusahau kuwawekea watoto wao misingi ya kwao, na wengi ni makapuku wamesahau kabisa utu wao na Uafrika wao kwa upumbavu wanaojaribu kujijengea kwa kuonyesha ushujaa juu ya vitu na hoja ambazo si za kwao bali ni za Ukoloni mambo leo, ,mwisho wa siku watabaki kuwa watumwa wa nchi hizo zilizoendelea na vizazi vinavyokuja vitabaki kuwa watumwa... Sikuwahi kuona Mwafrika akiwa na uhuru na nafasi ya ukweli hata huko kulikoendelea... tazama wanazipoteza nchi zao taratibu kwa hoja ya mabadiliko na mwinsho wa siku watakuwa mahouseboy na mahousegirls wa hao watakaokuja kumiliki nchi zao... enyi kizazi cha sasa mtakuja kujuta kipindi ambacho mtakuwa mmechelewa sana na mtakapo taka mabadiliko tena itawagharimu kupita mnavyofikiri... mnaukaribisha utumwa katika ardhi ya baba na babu zenu ole wenu hamtaikalia nchi manyoiuza mkaifurahia... itakuwa chungu kuliko kitu chochote ... ole wenu
 
I WONDER IF IN "POST RACISM" ERA SOME ONE CAN STILL STAND UP TO TALK OF SEGREGATION..HIYO NYEKUNDU MKUU HAIJAKA NJEMA UBAGUZI SIYO ISSUE TODAY! WAWAACHE WALIBYA WAMWONDOE GADDAFI WENYEWE!:frusty::frusty: NIKIKUTANA NA OBAMA NAMPA HIVO VICHWA!

Ha ha ha..hivi mtu mweusi anaeza akawa mbaguzi kweli ? Sidhani ktk dunia ya leo kuna ethnic group ambayo inamheshimu mtu mweusi..tembea duniani kote ujionee. Sasa ni UPUMBAVU wa hali ya juu kwa mtu mweusi kuacha kushughulika na madhila ya watu wake, watu wenye vijinasaba kama vyake, aende akajishulishe na matatizo ya mwarabu au mzungu..huu ndio ujuha wa kujifanya tumeerevuka na kustaarabika. Kwangu mie kokote ntakapokuwapo ..priority ya kwanza ni MTU MWEUSI..wengine wanaeza kwenda motoni, (wakitaka lakini)..sasa kama huo ni ubaguzi kwako SO BE IT.
 
You said ''watoto wa Viongozi kuwepo kwenye safu za uongozi wala si tatizo'' I beg to differ very sharply! hili ni tatizo katika nchi zote has linapofanyika katika mazingira tatanishi yanayoashiria mgongano wa kimaslahi (i.e through undue influence by family members and friends/without going through credible election/selection process) NA LITAKUWA TU LA KIBINADAMU IWAPO UTANISHAWISHI KUWA BINADAMU NI WALE TU WALIO KWENYE CORRIDORS OF POWER!! ila ninajua Huu ndio mwanzo wa kuingiza usultani katika nchi yetu and above all This sets bad precedence for unacceptable Nepotism culture, If you need to lie don't ever do it in JF!
 
Message inagusa sana hii, Lazima Libya watamkumbuka tu, inawezekana kweli ana mabaya yake lakini mazuri lazima yatakuwa ni mengi kuliko mabaya vinginevyo wangelalamika toka zamani, siyo wamesubiri upepo wa Tunisia na Misri uvume na kwao wanajifanya unavuma tena kwa kusaidiwa na NATO.
 
mii ntakukumbuka Col. Gadafi kwa kunikosakosa kuniua ulipotuma madege yako (kumsaidia dada amini) yaje kuishambulia nchi yangu Tanzania pindi nikiwa bado nanyonya!
 
Cyo mnamuona ghadafi muuaji! mbna misri waliandamana lakini hakuna waandamanaji waliorhka bunduki, libya wale c waaandamanaji ni waaasi tena pandikizi la wazungu...viva ghadafi.
 
Kwenye red inaonyesha jinsi gani ulivyoamini kinachoongelewa CNN, BBC, REUTER, and other other brainwashing agencies like that

Its true they brainwash but its also true that in the beginning when they started protesting he shot them. Whether you believe it or not Ghadafi is a psychopath. Just because he gave Libyans good life (not even better life compared to the wealthy of his country) doesn't mean he should rule them forever. That's unacceptable. And by the way, not everyone can be easily brainwashed like you.
 
How come protesters protest with all those guns and AK 47?. Are they protesters or military assauters, what do you think Gaddaffi regime has to do with them?.. using tear gas?. By the way you seems to be brain washed by Western democracy which will never be an alternative for development in developing states. The recent development in Southern Asia states never came through Western kind of Demos and regime alterations. You need to differentiate btn good and bad dictators, while Gaddifi is among the good one. You are obsessed with Western Democracy which encourages hedonism into poor nations and have divided the world symmetrically between the rich and the poor halves. The rich defend their interest by any price while the poor are starving with hunger and conflicts. What you think as power alterations in developed world democracy is nothing rather than the permanent interest of pentagon and all alike which must be fulfilled by any regime in power no matter, what.. thats why extreme ideologies such as Marxism never win and are prevented by any price. So long as Libyans are in other half of the sphere of the globe which has to be featured by, conflicts, hunger, poverty and other misery as the policy proposal by pentagon after cold war they will never get even little like what they have on Gaddaffi regime.
 
Huyo Gaddafi unayemtetea ameua wananchi na wanajeshi wake. Kwa hiyo unafikiri Allah au hata Mtume Muhammed S.A.W atamlinda kwa hilo? Ni nani unaetaka kumpotosha?

Tusiwe kama hatuna macho na masikio kwa sababu kosa gani ambalo gadaf kawakosea wa libya. Tuachane na fikra mgando tunazopata na vyombo vya magh.
 
You don't know much about Libya my brother. He overstayed but his people are enjoying. Every basic need is free. Where will you get that in this world today? They spoiled Benghazi people, without knowing hey will never be the same without Ghadafi. Trust me after Ghadafi leave or Die, life will change completely in Libya. And those people who are advocating for his departure at any cost they will pay the price. Nothing is for free in this world. You help me to throw him out, will pay you oil for twety five years.

Mkuu naona wewe ndio huijui Libya. Wata wanataka uhuru mkuu. Not the basic stuff you're thinking of. You can have everything you want, but if you don't have that human freedom, you're nothing. People are fighting against Gaddafi not because they are poor but because they want freedom.
 
How come protesters protest with all those guns and AK 47?. Are they protesters or military assauters, what do you think Gaddaffi regime has to do with them?.. using tear gas?. By the way you seems to be brain washed by Western democracy which will never be an alternative for development in developing states. The recent development in Southern Asia states never came through Western kind of Demos and regime alterations. You need to differentiate btn good and bad dictators, while Gaddifi is among the good one. You are obsessed with Western Democracy which encourages hedonism into poor nations and have divided the world symmetrically between the rich and the poor halves. The rich defend their interest by any price while the poor are starving with hunger and conflicts. What you think as power alterations in developed world democracy is nothing rather than the permanent interest of pentagon and all alike which must be fulfilled by any regime in power no matter, what.. thats why extreme ideologies such as Marxism never win and are prevented by any price. So long as Libyans are in other half of the sphere of the globe which has to be featured by, conflicts, hunger, poverty and other misery as the policy proposal by pentagon after cold war they will never get even little like what they have on Gaddaffi regime.

cheers man i think we have to look in positive way for those dictators who love their country and africa. I wish he will win this battle. One day those superiors will be vanished for their hypocrism of defending civilians
 
...By the way you seems to be brain washed...
Wewe pia umelewa ukoloni mamboleo. Yaani kasumba hizo za kikoloni zinakufanya uchangie mada kwa kutumia lugha ya kizungu, siyo. Kwa nini? Gaddafi hana lolote, wacha abondwe mpaka ajute kuzaliwa!

Nimemfuatilia Gaddafi tangu anachukua madaraka 1969 na nilikuwa ninamuunga mkono kwa msimamo wake wa kimapinduzi. Hata alipomsaidia Iddi Amin wakati wa vita vya Kagera bado sikuacha kuunga mkono mawazo yake, lakini kwa sasa naona amekwenda mrama. Kwa hiyo, wacha rafiki zake wamtandike kisawa-sawa. Afrika haihitaji viongozi madikteta wanaofikiri wanaweza kutawala kimaisha!
 
Asante Mungu kuwa sasa na Gaddafi anapata Adhabu, jamani nyinyi wenye ngozi nyuesi kama mimi, Gaddafi alituuza miaka mingi kwa majirani zake wazungu, la mwisho baada ya kukataliwa aunde umoja wa kiafrika ili apate kutamba kama kiongozi na ujinga wake kisha awaachie wanawe kina Saif al Islam ambaye amelipa Paundi 1,800,000 zaidi ya Tsh Bilioni 4 kumnunulia PhD kitika London School of Economics, ili aonekane msomi, Alimwachisha kazi Profesa wa chuo hicho na kumlipa Dola 50,000 milioni 75 kwa mwezi aje Libya kumfundisha mwanae Muttassim Gheddafi kiingereza.
Aliposhindwa kuinunua Africa na alikuwa ameshawahakikishia wazungu kuwa bara lote ni lake na yeye ni Mfalme wa Wafalme wa Bara la Africa, huku akikusanya waganga wa kienyeje na machifu wa kikabila akawapeleka kwao Libya, na kuita media ya Dunia waone alivyotawazwa na kutukuzwa.
Sote tuna mafuta lakini kwa kuwa hatujaenda kumlamba miguu gaddafi basi wazungu hawaji kuchimba kwa sababu kwa wazungu hilo ni eneo la Gaddafi, mfano Uganda ni nyikani, na Sudan, lakini iliwashauri rafiki zake Viongozi wa Ulaya waende Uganda na sio kwetu, yeye ndio mlango. kwa kiwango kikubwa umaskini wetu umechangiwa na CHUJIO LA GADDAFI ili apate kutukuzwa na utuletee njugu na misikiti ka alivyoiahidi BAKWATA jengo la dini la ghorofa 20, la nini? kum..... shenz...... NATO MUNGU AWABARIKI!!!!

i am crying to see people like you who think we are poor because of him. You are the reason we are poor think of that man.
 
Mkuu nitakuelewa vizuri kama utaandika kwa lugha yetu ya kiswahili. Frantz Fanon alizaliwa Martinique na siyo Guyana. Aliyezaliwa Guyana alikuwa Walter Rodney aliyeandika 'How Europe Underdeveloped Africa (1972). Hapa nadhani unachanganya karata!

Kweli inaonekana hukumwelewa. Kwenye post yake hakusema Frantz Fanon alizaliwa Guyana.
 
Mkuu hapo juu si ungeandika Kiswahili tu, au ndio unaleta mambo ya "Down with US, death to America..we hate America" choma bendera ukimaliza unakwenda McDonald's au unakata kiu na coca cola.
 
Cyo mnamuona ghadafi muuaji! mbna misri waliandamana lakini hakuna waandamanaji waliorhka bunduki, libya wale c waaandamanaji ni waaasi tena pandikizi la wazungu...viva ghadafi.

huo ndio ukweli ambao watu wengi wanashindwa kuuona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom