'MESEJI' ya HUJUMA...

We jamaa hebu acha fitna..haiwezekani uifute hiyo namba. Kwa azingira yetu tulivyo tunafowadi SMS zenye muelelekeo km huu kwa ndugu jamaa na marafiki iweje wewe ulie kisha uifute. Sasa kama umeifuta hatuna haja ya kukuamini..
Mkuu kilichoniliza ni hiki.Kwanza nani kawapa nambari yangu? Kwanini wafanye mchezo kama huo? Nioneni mjinga,mzandiki,muongo,mwoga na kadhalika lakini huo ndio ukweli. Ni humu humu jamvini nilipotukanwa kwa kusema kuwa Madaktari wangegoma tena.Yalipotimia sikuombwa msamaha. Ngoja niwe msahimilivu tu Wakuu wangu...
 
Kwa CCM yote yanawezekana.....naunga hoja mkono mia kwa mia mbili
 
wewe ulioleta hii issue nafikiri haujajipanga vizuri...utoto huu ulioandika kama kweki kuna kitu kama hicho unajua taratibu.
 
Mambo mengine ni kupotezeana mda tu!

Utanilipa kwakufanya niingie kwenye huu uzi mkuu!
 
Lete namba zako za cm watu tufanyie kazi, la sivyo tumia muda huu kabla MOD hajachukua hatua za kukurekebisha. Hapa Kazi tu mengine peleka MabweP.
 
Mkuu kilichoniliza ni hiki.Kwanza nani kawapa nambari yangu? Kwanini wafanye mchezo kama huo? Nioneni mjinga,mzandiki,muongo,mwoga na kadhalika lakini huo ndio ukweli. Ni humu humu jamvini nilipotukanwa kwa kusema kuwa Madaktari wangegoma tena.Yalipotimia sikuombwa msamaha. Ngoja niwe msahimilivu tu Wakuu wangu...
Mkuu ni ngumu mtu kukuamini kwasababu hujaleta ushahidi.
 
Siwezi kuamini.Kweli Tume iliyosheheni Wasomi wa Sheria wabobezi inaweza kucheza mchezo mchafu kama huu?! Ni hivi,leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye simu yangu ya mkononi. Ujumbe ( ingawa siwezi kuukumbuka neno hadi neno kwakuwa niliufuta haraka kwa woga mkuu) unanifahamisha kuwa nijiandae kwenda Mafia kutetea msimamo wa Tume juu ya Maoni ya Katiba. Sehemu ya Ujumbe huo unasema ifuatavyo : 'tuna taarifa kuwa wewe ni mzaliwa wa Mkoa wa Pwani'.

Ujumbe ukaendelea:'Wilaya yako ya Kibaha haipo kwenye orodha ya Wilaya za mwanzo kukusanyiwa maoni yako ya Katiba. Kwa kuzingatia umuhimu na weredi wako wa kisheria,tunakualika uambatane nasi kwenda Mafia kwa ajili ya kushiriki kwenye Ukusanyaji wa Maoni ya Katiba Mpya. Utafanya hivyo tena Wilayani Kibaha. Tutakuwa na Kikao cha uelekezi tarehe....' Nilipofika hapo nikaufuta na kuanza kulia. Nikachanganyikiwa hadi kusahau kuitunza nambari ya aliyenitumia ujumbe.Wakinikumbusha,nitaiweka nambari hapa jamvini. Nisameheni kwa 'kupanic' kwangu...

Nashindwa kuamini na kuendelea kuandika habari hii. Kwakweli nimelia sana asubuhi ya leo. Kumbe watoa maoni wa Katiba Mpya ni Mamluki? Maoni yenyewe kumbe sio huru na ya haki.Hapa tulikofikia,inahitajika v... au? Sina imani na chochote juu ya lolote la Serikali na Tume.Kamwe...

wewe ni ME au KE??
 
Acha kutuhadaa wewe na MAGAMBA wenzio tutatoa maoni kama kawaida tena jana DODOMA wametoa maoni DHAIFU apunguziwe madaraka ole wake JAJI WARIOBA asizingatie hilo.
 
Ila umechemka sema "NDIO" umepokeaje sms na ukaifuta gafla hapo umeonyesha uzaifu na woga kama mtanzania halisi.Ungetupa iyo number na ss wenzako wa jf ili tuwe makini na tukipata sms iyo tusishtuke natujue ni yule yule anaeneza izo habari.
 
Siwezi kuamini.Kweli Tume iliyosheheni Wasomi wa Sheria wabobezi inaweza kucheza mchezo mchafu kama huu?! Ni hivi,leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye simu yangu ya mkononi. Ujumbe ( ingawa siwezi kuukumbuka neno hadi neno kwakuwa niliufuta haraka kwa woga mkuu) unanifahamisha kuwa nijiandae kwenda Mafia kutetea msimamo wa Tume juu ya Maoni ya Katiba. Sehemu ya Ujumbe huo unasema ifuatavyo : 'tuna taarifa kuwa wewe ni mzaliwa wa Mkoa wa Pwani'.

Ujumbe ukaendelea:'Wilaya yako ya Kibaha haipo kwenye orodha ya Wilaya za mwanzo kukusanyiwa maoni yako ya Katiba. Kwa kuzingatia umuhimu na weredi wako wa kisheria,tunakualika uambatane nasi kwenda Mafia kwa ajili ya kushiriki kwenye Ukusanyaji wa Maoni ya Katiba Mpya. Utafanya hivyo tena Wilayani Kibaha. Tutakuwa na Kikao cha uelekezi tarehe....' Nilipofika hapo nikaufuta na kuanza kulia. Nikachanganyikiwa hadi kusahau kuitunza nambari ya aliyenitumia ujumbe.Wakinikumbusha,nitaiweka nambari hapa jamvini. Nisameheni kwa 'kupanic' kwangu...

Nashindwa kuamini na kuendelea kuandika habari hii. Kwakweli nimelia sana asubuhi ya leo. Kumbe watoa maoni wa Katiba Mpya ni Mamluki? Maoni yenyewe kumbe sio huru na ya haki.Hapa tulikofikia,inahitajika v... au? Sina imani na chochote juu ya lolote la Serikali na Tume.Kamwe...
Wewe siyo mvivu wa kufikiria bali mzembe wa kufikiria
 
We unaota! vivid dreams
 
sidhani kama wangekutumia msg, kwa upeo wangu, na kwa jinsi vile issue yenyewe ilivyo sensitive, wange kupigia ili usiwe na ushahidi pindi utakapo kataa, na binafsi sijaona kilicho kuliza ni nini, wewe ulikua na hamu tu ya kulia,jipange kijana, hili ni jukwaa la watu makini, kuleta habari zisizo na ushahidi ukome, make sure unachoandika una ushahidi nacho,
 
Siwezi kuamini.Kweli Tume iliyosheheni Wasomi wa Sheria wabobezi inaweza kucheza mchezo mchafu kama huu?! Ni hivi,leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye simu yangu ya mkononi. Ujumbe ( ingawa siwezi kuukumbuka neno hadi neno kwakuwa niliufuta haraka kwa woga mkuu) unanifahamisha kuwa nijiandae kwenda Mafia kutetea msimamo wa Tume juu ya Maoni ya Katiba. Sehemu ya Ujumbe huo unasema ifuatavyo : 'tuna taarifa kuwa wewe ni mzaliwa wa Mkoa wa Pwani'.

Ujumbe ukaendelea:'Wilaya yako ya Kibaha haipo kwenye orodha ya Wilaya za mwanzo kukusanyiwa maoni yako ya Katiba. Kwa kuzingatia umuhimu na weredi wako wa kisheria,tunakualika uambatane nasi kwenda Mafia kwa ajili ya kushiriki kwenye Ukusanyaji wa Maoni ya Katiba Mpya. Utafanya hivyo tena Wilayani Kibaha. Tutakuwa na Kikao cha uelekezi tarehe....' Nilipofika hapo nikaufuta na kuanza kulia. Nikachanganyikiwa hadi kusahau kuitunza nambari ya aliyenitumia ujumbe.Wakinikumbusha,nitaiweka nambari hapa jamvini. Nisameheni kwa 'kupanic' kwangu...

Nashindwa kuamini na kuendelea kuandika habari hii. Kwakweli nimelia sana asubuhi ya leo. Kumbe watoa maoni wa Katiba Mpya ni Mamluki? Maoni yenyewe kumbe sio huru na ya haki.Hapa tulikofikia,inahitajika v... au? Sina imani na chochote juu ya lolote la Serikali na Tume.Kamwe...

Mkuu suluhisho ni kulia? kama kulia basi wapinzani leo tungekuwa tumekufa kwa kulia. Kama uko seriuos basi hakikisha unapambana sio kulia. Hapa tunapambana na uozo wa system hatulii
 
Back
Top Bottom