Meseji katika picha

Meseji katika picha

zhang laoshi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
469
Reaction score
639
umeelewa nini katika hii picha... ni nini kinachosababisha na njia zipi za kutatua..<>.![emoji63]
FB_IMG_1535170970944.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Note kwamba.

-Binadamu wote tunalelewa na mother nature.

-Wote ni watoto kwa mother nature.
Hivyo basi hapa watoto haijamaanisha watoto imemaanisha nchi/ bara.

-Mtoto mweusi hana viatu. Mtoto wa kichina anavyo.
Inamaanisha mtoto mweusi hawezi kujiangalia.

-Picha inaonyesha unequal immigration kutoka bara moja na jingine.

-Kinachosababisha ni unfavourable conditions katika nyanja za kiuchumi, kijamii na kisiasa.

-Kutatua hizo hali ni maelezo marefu labda nikihamia kwenye pc nitarudi kumalizia.

NB. Fasihi ndivyo ilivyo pengine nimeenda chaka
 
wkt waafrika tunafikiria huko ughaibuni kuna maisha mazuri,wenyewe wanaitumia bahari kujipatia fedha(uvuvi) ambapo tena waafrika tunaitumia bahari hiyohiyo kuvuka kwenda kwao.. si tafsiri rasmi sana.
 
Picha inafikirisha sana... unaweza kuitafsiri hata mara mia moja na maana zote zikakubalika...
 
Note kwamba.

-Binadamu wote tunalelewa na mother nature.

-Wote ni watoto kwa mother nature.
Hivyo basi hapa watoto haijamaanisha watoto imemaanisha nchi/ bara.

-Mtoto mweusi hana viatu. Mtoto wa kichina anavyo.
Inamaanisha mtoto mweusi hawezi kujiangalia.

-Picha inaonyesha unequal immigration kutoka bara moja na jingine.

-Kinachosababisha ni unfavourable conditions katika nyanja za kiuchumi, kijamii na kisiasa.

-Kutatua hizo hali ni maelezo marefu labda nikihamia kwenye pc nitarudi kumalizia.

NB. Fasihi ndivyo ilivyo pengine nimeenda chaka
tisha sana mkuu
 
Back
Top Bottom