hahahaaaa...!! mkuu kuna message mtu unapokea hadi unaona aibu kuisoma. kwa kuwa wewe ni mtu mzima ushajua unaibiwa. lakini ukute kuna limwanaume linamtongoza tongoza mwenyewe kashamkatalia tangia zamani. Lakini siku hiyo lilimtumia msg akaona ni nzuri, ikabidi aitafutie kazi, kwa kuwa anakupenda akaona akutumie wewe. kapitiwa kuedit tu jamani msamehe bule. amekutumia kwa nia njema tu. Mia