Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,872
- 32,650
Ni habari moto moto kutoka kipande ilee.Okay
Jombaa, Meru Polytechnic si ilifungwa 'indefinately' jumatatu tarehe 9?Wanafunzi wa Meru Technical Polytechnic waligoma na kuandamana baada ya moja wao kuawa. Mwanzo wa video inaonyesha gari la jeshi la polisi limekamatwa na kuendeshwa na wanafunzi wa shule hio ya Meru Technical.