Merry Christmass from Mo Salah

Bila Shaka wako sahihi.
Maana kwa Imani ya wakristo yesu Ni MUNGU au mwana wa MUNGU.
Sasa muislam unaposheherekea hyo sikukuu inamaanisha unakubaliana na ITIKADI yao.
Nimeona maustadhi wamemnanga sana sana huko.
 
Bila Shaka wako sahihi.
Maana kwa Imani ya wakristo yesu Ni MUNGU au mwana wa MUNGU.
Sasa muislam unaposheherekea hyo sikukuu inamaanisha unakubaliana na ITIKADI yao.
Hujajibu swali langu kuhusu Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad, mna uhakika na tarehe aliyozaliwa?
 
Mo salah atawachoma muslims nimeona hata dj khaled kaweka bonge la mti christmas sasa povu litawatoka sana muslims

Watu mnakuwaga wajinga, uislam unakanuni taratibu na miongozo yake, ni kuifuata tu usipoifuafa hasara ni yake wewe sio ya waislam sasa iweje ujinga afanye mo salah kuteseka wateseka waislam,?
 
Kama umemsikiliza Habiba Khanom, journalist wa Uingereza alipohojiwa kwa swali kuwa ''Je kusherehekea Christmas ni dhambi? Alijibu kwa maandishi hivi :
View attachment 1659967View attachment 1659968

Habiba sio Mtume rehma na amani ziwe juu yake wala swahaba wala tabii wala sii sheikh miongoni mwa mashehe wa kutumainiwa, lakini lipo wazi uislam hauna ushirikiano na dini yoyote ya kikafiri, anayesemaga maneno hayo ni either hajui au mnafiq, wenye suratul fatiha anaomba dua asiangamie wala kupotea kama wakristo na manaswara, kwenye suratul kafirun anawakataa iweje aje hapo aongee mashirikiano kwenye sikukuu za kumkufuru Allah?
 

Attachments

  • IMG-20201223-WA0008.jpg
    IMG-20201223-WA0008.jpg
    101.6 KB · Views: 2
Hujajibu swali langu kuhusu Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad, mna uhakika na tarehe aliyozaliwa?

Kwenye uislam sikukuu ni mbili tu ambazo ni sikukuu za eid mbili hizo zingine zote uzushi na hazipo. Hakuna maulid wala birthday
 
Acheni kudiscuss upuuzi hayo ni makosa kwa mujibu wa uislamu
Mbona kule MMU wamejaa wazinzi (waislam kwa wakristo) kwani kuna dini imeruhusu
Mwisho wa yote mungu katupa free will kila mtu anafanya anachojiskia lakini kitu sahihi kitabaki hivyo na cha hovyo ni cha hovyo
 
Back
Top Bottom