Merry Christmas to all

Merry Christmas to all

Kwani nchi za kiarabu hakuna wakristo:becky:
jesus1.jpg
 
Isa Bin Maryam alizaliwa lini? Unayo aya kutoka Quran utuletee hapa? Au Allah hana uwezo na ufahamu wa kuijua hiyo siku ya Kuzaliwa Isa
dogo Qur'an ilisha jibu alizaliwa mwezi wa kuiva tende. Wakati Bibilia hata haina jawabu, BTW Kulikuwa na kipindi cha QUESTION & ANSWER

An Armenian woman asked one of the Muslims scholars about the birth of Messiah. She said; "I'm Armenian and there are differences in views about the date of the birth of Messiah . Some Christians said: he was born on 25[SUP]th[/SUP] of December, while others said; it was on 6[SUP]th[/SUP] or 7[SUP]th[/SUP] of January. What is your view in this issue?"
The cleric answered that, "the issue is not when he was born with regards to the time, but what can be apparently viewed in the Holy Qur'an is that, the Messiah was born in summer-tide or towards the end of it. Because, the time the palm tree bear fruits and the dates become ripe does not, usually, extend to December or January. Concerning this Allah says :Qur'an Surat Maryam- 19:25

And shake towards you the trunk of the palm tree, it will drop on you fresh ripe dates.
 
Umeandika vioja tupu hapa.
merry_christmas_isiah96.gif
Kama Bibilia zenu zinavyo ongea kama ulevi, mara Yesu alikuwepo kabla ya Prophet Ibrahim, mara sijui ni mjukuu wa Ibrahim. Jamani uwongo na kutunga tunga maneno mnasema ya Mungu mara mnanasa. Hivi wa kristo Yesu ana baba wangapi, mara mtoto wa David, mara sijui wa, wa balaa tupu. Hebu soma Matthew 1:1 This is the genealogy of Jesus the Messiah the son of David, the son of Abraham. Afu kasome hapa John 8:58 "Very truly I tell you," Jesus answered, "before Abraham was born, I am!" :becky: Kazi kweli kweli hata kichaa nadhani angeona magazeti ya udaku hapo.
 
Vibwengo kama nyie huwa hamkosekani..

Tuimbe kwa pamoja.

Happy birthday "mungu", Happy birthday "mtoto" wa Mungu", Happy birthday Jesus.
Hatuijui tarehe uliyoozaliwa lakini tumeichagua 25 disemba, happy bithday to youuuu.
 
dogo Qur'an ilisha jibu alizaliwa mwezi wa kuiva tende. Wakati Bibilia hata haina jawabu, BTW Kulikuwa na kipindi cha QUESTION & ANSWER

An Armenian woman asked one of the Muslims scholars about the birth of Messiah. She said; "I'm Armenian and there are differences in views about the date of the birth of Messiah . Some Christians said: he was born on 25[SUP]th[/SUP] of December, while others said; it was on 6[SUP]th[/SUP] or 7[SUP]th[/SUP] of January. What is your view in this issue?"
The cleric answered that, "the issue is not when he was born with regards to the time, but what can be apparently viewed in the Holy Qur'an is that, the Messiah was born in summer-tide or towards the end of it. Because, the time the palm tree bear fruits and the dates become ripe does not, usually, extend to December or January. Concerning this Allah says :Qur'an Surat Maryam- 19:25

And shake towards you the trunk of the palm tree, it will drop on you fresh ripe dates.
Bado haujajibu swali. Nipe tarehe aliyo zaliwa Isa bin Maryam.

12336910.jpg
Christians-in-Iran-Celebrate-Christmas_2.jpg
 
Tuimbe kwa pamoja.

Happy birthday "mungu", Happy birthday "mtoto" wa Mungu", Happy birthday Jesus.
Hatuijui tarehe uliyoozaliwa lakini tumeichagua 25 disemba, happy bithday to youuuu.
Mbona wenzako wanasherekea hiyo birthday?
iran-tweets.jpg
 
Bado haujajibu swali. Nipe tarehe aliyo zaliwa Isa bin Maryam.

12336910.jpg
Christians-in-Iran-Celebrate-Christmas_2.jpg
Sisi waislam huwa hatutungi hatuji tarehe alio zaliwa zaidi ya miezi pale tende zinaiva, na tende huwa haziivi December hata dunia iende speed vipi. Nyie ndio tuelezeni wapi Bibilia zenu zimesema alizaliwa taerehe 25th December:becky: Mimi nimekuwekea dalili za miungu wa kipagani walizaliwa tarehe hizo, we nipe dalili wapi Yesu alizaliwa tarehe 25th December kama unayo, nikisema wakristo hamjui mnaeleka wapi au mko wapi mnabisha. Sa hio 25th December Paulo aliitoa wapi kama si kwa wapagani wenzake.
 
Merry Christmas kwa wajinga wote dunianini, hii dini haina uthibitishi kama siku hio Yesu alizaliwa hio ni siku ya kuzaliwa kwa masanamu ya kipagani haswa lile linaitwa Esus.

Hivi sanamu linazaliwaje mkuu?
 
Hivi sanamu linazaliwaje mkuu?
Mana ya kuzaliwa siku lilipo anza kuishi dunianini, au Kiswahili pia kinakupiga chenga mana ya kuzaliwa nikuwa live hapa duniani. Masanamu yakisha tengenezwa basi yanakuwa live mpaa siku yakivunjwa ndio yanakufa:becky:
 
Sasa ni sanamu gani lilitengenezwa tarehe 25?
 
Sasa ni sanamu gani lilitengenezwa tarehe 25?
Here is a list of some of the of Pagan gods that had "birthdays" or are associated with December 25th:

  1. Apollo
  2. Attis
  3. Bacchus
  4. Dionysus the son of Zeus
  5. Helios
  6. Hercules
  7. Horus
  8. Jupiter
  9. Mithras
  10. Nimrod
 
Mbona wenzako wanasherekea hiyo birthday?
iran-tweets.jpg
Je nimesema usisherehekee? Au wasisherehekee?

Shereheka tu.
Haya tumuimbie ile nyimbo ya happy birthday "mungu".

Wewe hujui kuwa wako wakristo nchini Iran?
Wayahudi pia wako huko kama hujui.
 
Here is a list of some of the of Pagan gods that had "birthdays" or are associated with December 25th:

  1. Apollo
  2. Attis
  3. Bacchus
  4. Dionysus the son of Zeus
  5. Helios
  6. Hercules
  7. Horus
  8. Jupiter
  9. Mithras
  10. Nimrod
Ushahidi uko wapi?
 
Ushahidi uko wapi?

Mkuu Eiyer.
1. Wewe unasherehekea nini tarehe 25 december?

2. Yesu alizaliwa tarehe ngapi?

3. Je unashereshekea kuzaliwa kwake?

4. Je una uhakika kuwa Yesu alizaliwa?
 
Mkuu Eiyer.
1. Wewe unasherehekea nini tarehe 25 december?
Inajulikana kwa kila mtu hata kichaa kuwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu,hoja yako ni nini?
2. Yesu alizaliwa tarehe ngapi?
Sijui kwasababu haikuwekwa kumbu kumbu ...
3. Je unashereshekea kuzaliwa kwake?
Sisherekei,lakini maswali ambayo nimeuliza sijui yanahusianaje na haya maswali yako ..
4. Je una uhakika kuwa Yesu alizaliwa?
Yes kwa uhakika kabisa ...!!
 
Ushahidi uko wapi?
Nilisha mjibu mwenzako huku nyuma sema huwa ni wagumu kufahamu, ndio mara nyingi huwa sishangaii hata mnampinga Yesu, wakati yeye mwenyewe anasema Mungu wetu ni mmoja tu nyie mnasema na yeye ni Mungu. Dalili nilisha mpa mwenzako ni hii hapa
 
Inajulikana kwa kila mtu hata kichaa kuwa ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu,hoja yako ni nini?

Sijui kwasababu haikuwekwa kumbu kumbu ...

Sisherekei,lakini maswali ambayo nimeuliza sijui yanahusianaje na haya maswali yako ..

Yes kwa uhakika kabisa ...!!
Kichaa ni mtu? Au mtu anaesherehekea kuzaliwa "mungu" ni kichaa?

Katika sifa za Mungu, imo ya kuzaliwa? Mungu anazaliwa? Mungu anazaliwa na nani?
 
Nilisha mjibu mwenzako huku nyuma sema huwa ni wagumu kufahamu, ndio mara nyingi huwa sishangaii hata mnampinga Yesu, wakati yeye mwenyewe anasema Mungu wetu ni mmoja tu nyie mnasema na yeye ni Mungu. Dalili nilisha mpa mwenzako ni hii hapa

Inawezekana ukawa hujajua nimekuuliza nini ....

Hicho ulichokiandika hapo nakijua,tatizo lako wewe unakariri na hufikiri,nitakuambia kwanini ...

Hayo majina uliyoyaweka hapo sio majina ya sanamu bali ni majina ya vinavyosadikiwa kuwa mungu,kama ilivyokuwa leo ndivyo ilivyokuwa zamani,walikua na taratibu zao za kuabudu na walikuwa wametenga siku maalum

Sasa unaposema ni masanamu ni meshindwa kukuelewa na nikadhani una ufahamu mpya ambao ningependa kuuelewa na bahati mbaya wewe uko kiubishi zaidi

Nataka uniambie ni kwa vipi Nimrod ni sanamu na hiyo sanamu ilijengwa vipi tarehe 15 na kwa ushahidi upi!
 
Kichaa ni mtu? Au mtu anaesherehekea kuzaliwa "mungu" ni kichaa?

Katika sifa za Mungu, imo ya kuzaliwa? Mungu anazaliwa? Mungu anazaliwa na nani?

Masuala ya Uungu wa Yesu yanakujaje tena?

Kwenye maswali yako kulikuwa na suala la Uungu wa Yesu?

Rudi kwenye maswali yako kama unataka kujifunza,lakini kama unataka kujifunza kuhusu Uungu wa Yesu sema na sio kuuliza maswali ambayo yanajifunga menyewe!
 
Back
Top Bottom