Merry Christmas and Happy New Year to you all

Status
Not open for further replies.

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
1,100
81
God is Love
Christmas is all about love
Christmas is thus about God and Love
Love is the key to peace among all mankind
Love is the key to peace and happiness within all creation
Love needs to be practiced - love needs to flow - love needs to make happy
Love starts with your partner, children and family and expands to all world

New Year is a time for celebration of love, of life, of Friendship.
It's the time to thank God for wonderful friends, and to bring to their
lives as much magic as they bring to ours...So here's celebrating our
Friendship and praying that its magic continues forever.


Merry Christmas and Happy New Year to you all

Love and good wishes

MJ
 
Wakuu, kabla ya X-mas huwa kuna sikukuu ya Kiislam. Sijaijua ni tarehe ngapi (hata kwa kukadiria) lakini kuna kitu nilihitaji tukifanye kuanzia sasa. Can anyone gimme a clue?
 
Wakuu, kabla ya X-mas huwa kuna sikukuu ya Kiislam. Sijaijua ni tarehe ngapi (hata kwa kukadiria) lakini kuna kitu nilihitaji tukifanye kuanzia sasa. Can anyone gimme a clue?


8th Dec Eid el Hajj

Lakini depending on the sighting of the moon mzee.

MJ
 
Wakuu, kabla ya X-mas huwa kuna sikukuu ya Kiislam. Sijaijua ni tarehe ngapi (hata kwa kukadiria) lakini kuna kitu nilihitaji tukifanye kuanzia sasa. Can anyone gimme a clue?

kati ya tarehe, 8 na 9 au 9 na 10 December
 
8th Dec Eid el Hajj

Lakini depending on the sighting of the moon mzee.

MJ

Sawa tarehe 8 kutegemea na mwonekano wa mwezi. Sisi tushauona ama utaanza moja tena? Tena bado mchanga kweli! Au ikoje hii? naomba kujuzwa!
 
Thank you Mambo Jambo kwa kuwa wa kwanza kutukumbuka ndugu zako na kututakia Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya.

Kwa wale wote watakaosherehekea sikukuu hii Kimwili nawatakieni wote maandalizi mema ya sherehe hii huku wengi wetu tukipata nafasi ya kukaa na familia zetu yaani kuanzia bibi, babu, mama na wengineo.

Kwa wale Wakristo nawaombeni sana tuzidi kujiweka tayari Kiroho, tukiishi kwa kadiri ya mafundisho yake Bwana wetu Yesu Kristo ambaye ndiye tunayemsherehekea siku ya sikukuu ya Xmass (na sio tarehe jamani). tusikilize mafundisho yanayotolewa na wakuu wetu wa dini hasa ktk kipindi hiki cha kujiandaa (Majilio) ili yale yanayofundishwa yatusaidie kweli katika maisha yetu, tuishi tukimpendeza Mungu na Jirani na kwa namna hiyo tutajiepusha na dhambi ili hatimaye tuweze kuurithi uzima wa Milele Ijayo. Amina.


MERY XMASS AND HAPPY NEW YEAR TO YOU ALL.
 
kwa taarifa nilizonazo..

Jumatatu tar 8 itakuwa sikukuu ya EID Hajj...

Kwa Bahati nzuri Mwezi ulionekana zanzibar Ijumaa, na Jumamosi tar 1 Dhulhijja....Funga ya ARAFA itakuwa Jumapili tar7 Dec, EID Hajj itakuwa Jumatatu same na SAUDI ARABIA. Saudi Arabia wao Mwezi wa Dhulhija, wamekamilisha siku 30, wakat Tanzania/Zanzibar mwezi umeonekana tar 29 dhulhija....
 
105273.gif

In this joyful season I wish my fellow Tanzanians all over the World warmth thoughts and happy smiles for you and your loved ones.

May this Christmas greet you and your loved ones with all its good tidings and warmth.

Merry X-mas and Prosperous New Year of 2009
 
Merry Christmas and Happy New year!..
Ama kweli ndio tunaukata mwaka hivi?...
Duh, Kikwete kisha maliza miaka mitatu vile!
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=rM64NhYoLqA&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=u4Rq8LBvlsg[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=4AcXHif-mtk&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=stEjTFMb940&feature=related[/media]
[media]http://www.youtube.com/watch?v=mWzUp2gUUqQ[/media]
 
Hii iwekwe kama sticky thread ili watu waione na kuendelea kutoa salamu zao za X-mas na mwaka mpya.
 
Merry xmass mgonja,nsalimie wote huko keko
cheers merry xmass n happynew yr hakimu mwankenja
kila la kheri wote
tunatumaini yote ni mapenzi ya mungu kusherehekea huko
ooooooooohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
jf members 2
 
Merry x-mass vijana wa wote wa JF. Msherehekee mwaka mpya kwa amani na furaha. Tuanze mwaka mpya na matumaini mapya.
 

Krismasi njema na furaha ya Mwaka mpya. MUNGU ibariki JF, Mungu Ibariki Tanzania.


 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom