Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 64
Huyu Mkono naye asianze unafiki hapa! Yeye ndiye mhusika mkuu katika madili yote ya kifisadi na sasa anataka kusema nini. Au ndiyo yale ya kumwaga mboga baada ya wenzake wa BoT kumwaga ugali (kumfutia tenda?)
Yeye mwenyewe kachota bilioni nane hata kazi aliyoifanya haijulikani! Ajibu ni kazi gani aliyoifanya BoT hadi kulipwa mabilioni yote hayo? Aliifanya kwa muda gani? Acha unafiki na ufisadi Mkono! Jibu tuhuma zako kwanza au rudisha pesa zote ulizofisadi BoT kabla hujafunguliwa mashtaka
Atajibu wapi alivyo na kiburi huyo? anadai kuwa yeye ndiye tajiri namba moja huko musoma na kuwa yeye ndiye kama mkuu wa mkoa huko. The guy is arrogant, unakumbuka maelezo yake kuhusu benk ya kifisadi ya kina mkapa na wenzake ya M

Hivi, Mwafrika wa kike hujui huyu mtu baada ya kuondoka mwalimu Nyerere,yeye huko musoma ni kama kamungu kadogo,ukitaka kuona hilo nenda pale musoma halafu endesha kampeni dhidi yake, utaona wajinga wachache wanavyojitahidi kumlinda. suala la msingi atuambie zile Bil 8 alizolipwa za walipa kodi,alilipwa kihalali? na kwa kazi ipi aliyofanya? Unapokuta kwenye mkataba kuna kipengele cha kulipwa hata pasipo kufanya kazi,ujue ni ufisadi tu unaendelea hapo. Mwafrika wa kike,unakumbuka maelezo yake ya kupinga kuwa ajalipwa kiasi hicho cha pesa toka BOT,akadai atalifungulia gazeti husika mashtaka,yalipofichuka?kimya
Nguvu ya rushwa ameisambaza mno Musoma kiasi kwamba hagusiki .
one word for you, absurd!Although he may be categorised as a "fisadi" , Mkono is slightly different from the other "Mafisadi" What differenciates him is the large sums of money he gives back to his community and the supervision he provides to make sure that it is put to good use.
An extra ordinary example is the number of very modern schools (both secondary & primary) that he coordinated to be built in his constituency. These are schools that were built or are being built by his own personal initiative (He does fund raising, provides supervision of the projects, and most significantly uses some of the money that he is alleged to have stolen to fund the projects) Click on the link below to see for yourself.If we cant get rid of "Mafisadi", then we should at least encourage them to invest their alleged ill gotten goods into their communities, instead of stashing it in some secret bank account overseas, or buy property in Dubai and London.They can learn from Mkono; spend that money right here at home and that way it will have a multiplying effect creating Jobs, small businesses, real estate etc reaching and touching pretty much every mwananchi. In the end, everyone will benefit and no one will complain that much.
http://www.musomarural.org
Although he may be categorised as a "fisadi" , Mkono is slightly different from the other "Mafisadi" What differenciates him is the large sums of money he gives back to his community and the supervision he provides to make sure that it is put to good use.

Mkono kwa mazingira yale aliyo yatengeneza jimbo lake atampa mtu anaye mtaka wala si kushimdwa maana hata akisimama mpinzani wananchi wanamwambia kaa chini .
Huyu Mkono naye asianze unafiki hapa! Yeye ndiye mhusika mkuu katika madili yote ya kifisadi na sasa anataka kusema nini. Au ndiyo yale ya kumwaga mboga baada ya wenzake wa BoT kumwaga ugali (kumfutia tenda?)
Akitoa maoni yake, alipendekeza kuwa mikataba yote ya madini nchini ifumuliwe upya ili iwanufaishe Watanzania wote, kuliko hivi sasa ambapo mapato ya madini yanaishia mikononi mwa watu wachache.