Una assume kwamba Usalama wa Taifa wao sio mafisadi.
Ukiangalia viongozi wa juu wa Usalama, hususana waliotoka kustaafu (hawa wa sasa hivi sifahamu kwa sana) wanavyo ishi na mali waliyojilimbikizia, sidhani kama mishahara yao ingetosha kufanya mavitu yao.
Tusi assume kwamba ukiwapa wao ulinzi wa mali ya Umma basi itakuwa poa.
Hata Plato ali spin alipoulizwa "nani atalinda walinzi"?
Hey!
Imegawanyika!
Nina Uhakika Kuna Wanausalama Waliokerwa!
Wabunge Waungeni Mkono!
Na Kama Hamuwajui Ni Wapi Hao...basi Mwulizeni Zitto Atawaambia!
Na Wale Wa Ccm Mpya..i Mean Ile Ya "free Of Wana Mtandao" Iungane!
Wanasheria...viongozi Na Wadau Mbali Mbali!
This Is The Time To Rescue Our Dear Nation!
Pls Pls Pls!
Na Hata Kama Mikataba Hiyo Itakuwa Cleared Na Usalama Wa Taifa...ni Lazima Taarifa Hizo Ziwe Declassified Baada Ya Muda Flani For Verification Purposes!
And I Mean The People!
NA "THE PEOPLE" HAPA NI "BUNGE HURU" FREE OF VIRUSI VYA THE SO CALLED.."WANAMTANDAO"
The People's Verification That The So Called "contracts" Actually Benefits The People and the well being of THE NEXT GENERATION!
Hence A New Prosperous Nation!
God Willing!
Ndugu zangu mnakumbuka jinsi watu walivyofungua biashara za kiti moto hapo DAR mara baada ya MWINYI KUDAI NI RHUKSA KULA NGURUWE!
Badala ya kuandaa mpango maalum wa kuwaanda wananchi ili tusirudi utumwani kwenye dunia mpya ya ushindani...Yeye akawaambia wabongo,tena waislam wenzake wale nguruwe!
Na kweli wakala sana tu!
Hata mfungo wa ramadhani wengine walisneak na kwenda kula!
Na hata mara baada ya MKAPA kuja na white paper...
CHARLES HILLARY BADO NA YEYE AKAFUNGUA KITI MOTO YAKE HUKO SINZA!
SASA TUMEGUNDUA NCHI IMEUZWA KWA VIONGOZI WETU KUTUMIA LOOPHOLES!
REKEBISHENI MAKOSA,RUDISHENI NCHI KWA WANANCHI...THEN TUANZE NA TAIFA JIPYA NA LENYE MATUMAINI!
Hapo bongo tunataka mabadilko makubwa sana!
Hapo SINZA..Nilikutana na maprofesa wanakunywa pombe tuu!
NA HATA HAWAENDI KUTOA LECTURE!
TENA WAKAWA WANANITAMBISHIA NA VIJIDOLA HUKU WAKIJIMWAGA NA MABAAMEDI.
Mabaamedi wenyewe kweli wanatia huruma!
Badala ya kupewa TIPS ama hata mamlaka HUSIKA zihakikishe zinasimamia haki zao...Basi wao kimya wakiuza nchi!
Kwanini nyie watanzania MUMPE BAAMEDI MIPOMBE NA KUMLEWESHA KAZINI BADALA YA KUMPA HATA TU TIPS ILI AKALISHE FAMILIA NA KUTOKUJIKITA KWENYE UKAHABA?
TENA MAPROFESSOR WETU WA HAPO MLIMANI NI KUSHINDA BAA NA KUWALEWESHA MABAA MEDI WASIO HATA NA ELIMU BAADA YA KUWEKA PESA HIYO KAMA HATA MCHANGO WA KUWASADIA!
SASA NANI ANAMJALI NANI HAPO BONGO!
HATA KIJIMENEJA KIDOGO TU NI KIJITUMBO KULE NA MIDOMO MBINUKO!
TAIFA LIMEOZA HILO!
LINAOITAJI MAPINDUZI YA KILA NAMNA!
LA SIVYO NI UTUMWANI KAMA KAWA!
...duh, Bro Jmushi1 You Need A Break! Have A...
View attachment 1759
...:d Ha Ha
Mwinyi Alipewa Jina La Rhuksa Kwasababu Gani?
Mnataka Tulete Hotuba Yake Aliyosema Ni Rhuksa Kula Nguruwe?
Tena Akasema Hata Kula Chura!
Na Kwa Uelewa Wangu...chura Waliko Tanzania Ni Un Consumable!
Chura Wetu Ni Sumu!
Usile!
Yeye Angewatayarisha Wananchi Na Kuwaambia Sasa Ni Dunia Ya Soko Huria Ama Globalization Na Hivyo Wananchi Watayarishwe!
Na Si Uswahili!
Ama Unataka Takwimu Za Walaji Nguruwe Hapo Bongo,bucha Mrema Alizopigana Nazo Na Kitimoto Kila Pahala Na Hata Ya Ndugu Yetu Charles Hillray Hapo Sinza Kwa Mugabe?
Je ule utaratibu wa WHITE PAPER ULISSHIA WAPI?
HOW DID IT BENEFITI THE PEOPLE?
PRSC,WIZARA YA FEDHA NA BOT NDIO INSTITUTIONS ZILIZOSIMAMIA UBINAFISISHWAJI...NA TUNAJUA UFISADI ULIOPO HUMO KWENYE TAASISI HIZO ZILIZOPEWA JUKUMU LA KUTUINGIZA KWENYE UCHUMI MPYA WA USHINDANI WA HALI YA JUU!
SASA NANI ANAMILIKI TANZANIA?
Na ndio maana hapo wana suggest sheria zibadilishwe.
Kwani sheria zinalinda maslahi ya uhai wa chama kabla ya uhai wa TAIFA!
Ni kosa lililoachwa na MWALIMU ambalo viongozi wetu especially MKAPA...WALILITUMIA KULIUZA TAIFA...NA AMA KUJIKABIDHI MALI ZA TAIFA!
Na ndio maana kulikuwa na kilio wakati akiingia madarakani kwani tulitaka wananchi watayarishwe kukabiliana na techonology na soko huria....Waandishi nao wakadakia...TEKE LINALOKUJIA NA UTANDAWAZI!
SI TEKE LILOTUJIA...NI BALAA LILILOTUKUMBA!
MKAPA AKAJA NA THE SO CALLED A "WHITE PAPER"
NA KUUNDA PRSC NA KUJIKABIDHI TAIFA NA THE REST KUUZA!
NO NO NO!
WE WANT FREEDOM!
PERIOD.