Huloos all who dare to talk openly!! big up to you all in your insights and contributions on important issues of our country! I am new in the forum, but am happy to join in and learn and contribute where i can on issues concerning our beautiful country!
One thing sielewi ni how is it that MPs/Ministers/PM can just stand and talk rubbish wakati vitu viko wazi in black and white, do these position give them amnesia of some sort au? Instead of wasting time and money kwanini hawatoi majibu yenye uhakika na yasioleta utata zaidi na kuonyesha mapungufu yao???

.........kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi.......... kuna dawa moja ya kukamata/kumnasa panya bila kumuua na kusabbsha harufu ndani... hiyo dawa ni ya gundi basi unaweka chakula katikati halafu unaipakaa ile dawa pembeni (sehemu kubwa) bwana weee....basi panya akikatisha tuu ananasa, kila anapujinasua ndio nanazidi kujinatisha mwili wote kwenye gundi..... kwi kwi kwi kwi kwi.....................
Tuandamane, hiyo dawa naona inaanza kufanya kazi na muda si muda panya atanasa ...................kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi.......... kuna dawa moja ya kukamata/kumnasa panya bila kumuua na kusabbsha harufu ndani... hiyo dawa ni ya gundi basi unaweka chakula katikati halafu unaipakaa ile dawa pembeni (sehemu kubwa) bwana weee....basi panya akikatisha tuu ananasa, kila anapujinasua ndio nanazidi kujinatisha mwili wote kwenye gundi..... kwi kwi kwi kwi kwi.....................
.........kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi.......... kuna dawa moja ya kukamata/kumnasa panya bila kumuua na kusabbsha harufu ndani... hiyo dawa ni ya gundi basi unaweka chakula katikati halafu unaipakaa ile dawa pembeni (sehemu kubwa) bwana weee....basi panya akikatisha tuu ananasa, kila anapujinasua ndio nanazidi kujinatisha mwili wote kwenye gundi..... kwi kwi kwi kwi kwi.....................
pinda ameingia kwenye nyumba inayonuka kinyesi kila kona (choo cha city) sasa kila anapojaribu kusafisha ndio anazidi kuchafua kabisa.imefika mahali hata yeye ananuka kinyesi.
Jamani yule Spika ambaye haogopi mtu ameishia wapi? Ndiye anatakiwa kuendesha vikao hivi.
Tuandamane, hiyo dawa naona inaanza kufanya kazi na muda si muda panya atanasa ..........
come to think of it, hivi investigation ya unga unga tayari, maybe ikijulikana what was the viunga unga we will know why these people are just mumbling mumbling on serious issues!! seriously!!!
Kitu kikubwa kinachowapa kiburi ni hilo jeshi lao na mapolisi wao, maana "wamewatia kiganjani" haswa hawafurukuti na kwa umaskini wao wa akili wala hawajiulizi tofauti ya kimaisha kati yao na hao wanao walinda.. wao wakiambiwa "kamataaa..." mbio.... wanakamata kama mbwa wao wasiohitaji sbb ya kukamataAtakuwa ameisoma na anajuwa wazi kuwa anasema uongo. Hao majangili ni lazima washughulikiwe. Hawawezi kuendelea kutufanya wananchi kama mazezeta na wanafanya na kusema wanavyotaka.