Menyu Kali ya Kibongo

Menyu Kali ya Kibongo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
attachment.php
 

Attachments

  • 12249948_10206630014163547_6907017102765851378_n.jpg
    12249948_10206630014163547_6907017102765851378_n.jpg
    24 KB · Views: 1,678
Da,mkuu wewe bado unakula sembe tu mpaka sasa?
Lazima utakua na yale matatizo tu wewe.
Kula dona bhana.
 
Da,mkuu wewe bado unakula sembe tu mpaka sasa?
Lazima utakua na yale matatizo tu wewe.
Kula dona bhana.
kweli kabisa mkuu ila yale matatizo sina ni kwa leo tu
 
Nilijua nitakutana na orodha (menu) ya vyakula. Kumbe kibongobongo menu ndio chakula.. hahaaa mie najua menu ni ile orodha ya vinavyopatikana either chakula au mengineyo. Mfano kwenye simu pia huwa kuna menu...
 
kweli kabisa mkuu ila yale matatizo sina ni kwa leo tu

Kwa bahati mbaya nashindwa kudownload picha kwa hiki kisimu changu, otherwise ningeweka hapa picha la menu yangu ya dona.
Yani mpaka wife anaomba nimtafutie msaidizi japo awe anapumzika mara moja moja.
Sebene limekua zito kweli kweli mkuu.
 
kuna watu mnatania maisha tu-ugali gani hutu mtu unakula??
 
Yaani huo ni mkalo kamili wa mchana wenye gharama kiasi.hapo ukimaliza unashushia na maji safi na salama.utakuwa umemuacha mbali sana kiafya aliyekula chips mayai.
 
nilijua nitakutana na orodha (menu) ya vyakula. Kumbe kibongobongo menu ndio chakula.. Hahaaa mie najua menu ni ile orodha ya vinavyopatikana either chakula au mengineyo. Mfano kwenye simu pia huwa kuna menu...
kibongo bongo au hujaulizwa umeshapata menyu>
 
Kwa bahati mbaya nashindwa kudownload picha kwa hiki kisimu changu, otherwise ningeweka hapa picha la menu yangu ya dona.
Yani mpaka wife anaomba nimtafutie msaidizi japo awe anapumzika mara moja moja.
Sebene limekua zito kweli kweli mkuu.
biashara matangazo mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom