Menu yangu ya leo. Karibuni


hahaha Pilipili kichaa tena ...Kupika ugali wa mahindi uchanganye na muhogo ni shughuli pevu
Ukiotea ugali kuiva hahaha ..usiseme sijui kupiga

Ugali + maziwa ya mgando?
 
Reactions: BAK
Jaribu uone utamu wake kama hukuunga tela lol!, lakini kweli shughuli ni pevu.

hahaha Pilipili kichaa tena ...Kupika ugali wa mahindi uchanganye na muhogo ni shughuli pevu
Ukiotea ugali kuiva hahaha ..usiseme sijui kupiga

Ugali + maziwa ya mgando?
 
ha ha haaaa, asante sana, nakuja. ila nikiwa njiani ongezea na dagaa; wawe wamekaangwa na mawese, please.... thank you
Watu wa Kigoma utawajua tu sombe bila mawese halipikwi, dagaa bila maweze hawaivi lol!
 
Kweli leo naona tunakula juisi ya maembe na mapapai na mboga mseto, ukitoka hapo si kuhara.
 
hicho cha mboga saba sikiwezi nataka hicho cha mboga moja (dagaa)
 
mhhh jamani kumbe wengine wanapika dagaa na vchwa kama dagaa anakuwa ananionavile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…