Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 11,453
- 10,059
Karibuni wote
View attachment 213788
View attachment 213788
Mmmh, ugali na fish? ataa haushindi pila na samaki au samaki wa kupaka na chapati...yaamm-yami !Mtamuuuuuuuuuuuuu sana ugali na samaki na bamia.......
me huo mrenda wa bamia ndo kilakitu!
Mimi mlenda umenishinda, aisee.. haupiti kinywani.
Mbona hautoshi huo labda tule tonge moja....
Nakumbuka kuna msemo karibuni kula kama haki ya mtu inalika ndio ulio apply nini?